Ujerumani: Euro bilioni 65 kutolewa kwa wananchi kukabiliana na gharama za maisha

Ujerumani: Euro bilioni 65 kutolewa kwa wananchi kukabiliana na gharama za maisha

Halafu Kuna Mentality ya watu ambao wanafikili Urusi ndio Ina Gesi pekee Duniani. Ukweli Ni kwamba,Mataifa mengi Yana Gesi Tena Kutosha. Mfano Ni Norway,Denmark,Angola,UAE,Quatar,Israel,Msumbiji,Canada,Marekani,Libya,n.k. Tatizo Ni Miundombinu ya kufikisha Gesi hiyo barani Ulaya. Ulaya walijiweka karibu Sana na Urusi na Kujenga Mabomba ya Gesi kutoka Urusi mpaka Ulaya na hivyo usafirishaji wa Gesi kutoka Urusi kwenda Ulaya Ni Rahisi zaidi kuliko sehemu nyingine.

Kwasasa ndio Ulaya wanaamka na kuona walijiweka kwenye Utegemezi wa Urusi hasa Ujerumani. Sasa Ujerumani inataka Kujenga LNG Terminal Kubwa 2 ili kuhifadhia Gesi kutoka Marekani na Canada ambayo itaweza kutumika kwa mwaka mzima Kama Terminal zote 2 zikijaa.
Maelezo mazuri boss
 
Urusi iangalie namna ya kuboresha uhusiano kwa manufaa ya Urusi sababu matatizo yanapodumu kwa muda mrefu hupatiwa ufumbuzi. Urusi inapaswa kutumia mbinu na akili ya juu kuendelea kuwa mfumbuzi wa tatizo la gesi barani Ulaya kwa miaka mingi mbeleni na si kuwaweka kwenye hali ya kuwafanya kufikiria kuachana na utegemezi wa gesi kutoka Urusi.

Urussi haitegemei EU kama wateja wake kashaanza kupata wadau wapya. EU itawachukua miaka mingi kukaa swa na mpaka wakae sawa uchumi wao utakua umekufa tyr
 
Wao walisema wanaachana na utegemezi, urusi anawasaidia kufikia malengi yao haraka
 
Ndio nasema hakuna haja ya kumfikiria mteja mmoja jeuri kuwa utampoteza, wakati kuna wateja mia na ushehe wanaohitaji bidhaa hiyo hiyo
Urusi ss hv ataanza kupangiwa bei sabab ana limited market , majuz wahindi walianza kudai wapunguziwe bei
 
Urussi haitegemei EU kama wateja wake kashaanza kupata wadau wapya. EU itawachukua miaka mingi kukaa swa na mpaka wakae sawa uchumi wao utakua umekufa tyr
EU unawajua , au hujui kwann walikutawala ? ni watu wa kugundua alternatives za matatizo yao na ndio maana utandawaz wote duniani wameuleta wao , wao ndo wameiunganisha dunia kuwa kijiji
 
Huwa tunawaambiaga watu waache fikra za kimaskini kuhusu mataifa ya magharibi ,jamaa wameshusha zigo la trillion zaid ya mia,kibongobongo tunaila miaka 3,
Huwa nashindwa kuwaelewa baadhi ya watu wanawachukulia poa sana haya mataifa ya west,kiufupi hawa jamaa walishaendelea sana kimaisha .
Waliofanya kazi na hawa west ,hususani kwenye mashirika yasiyo ya kiserikali wanautambua mziki wao.
We shindia fikra zako za kimaskini ukijua watapata shida. Endelea kujitekenya
  • The German government agreed on a 65-billion-euro ($65bn) plan to ease pressure on households as Russian gas supplies dwindle and energy bills soar.
  • Chancellor Olaf Scholz said Germany would have sufficient energy to see it through to next year after Russia stopped supplies of gas to Europe via the Nord Stream 1 pipeline.
Chanzo : Aljazeera
Kwaio wamejikwamua na utegemezi wa gei ya Russia?
 
Shida sio gesi , shida ni gesi ya gharama nafuu, kama gharama zako za uzalishaji zitakua juu na bado mnataka kuipiga pini china kibiashara itakua ni kutwanga maji kwenye kinu............huu ndo wakati nchi za Asia kutawala kiuchumi na kijeshi
 
Hakuna matengenezo yoyote yale, ilani mbinu tu.Ila huko mbeleni hiyo gesi itakuwa haina soko tena Ulaya kwani ktk kipindi hiki cha mpito wana pata shida lakini hawajabweteka tu, wanatafuta njia mbadala.ambayo baada kama ya mwaka mmoja watakuwa hawahitaji tena gesi ya urusi, hapo nani atakuwa na hasara?
US, Canada n.k wamepata soko kubwa la gas yao hapo Ulaya. Ndo maana US anafadhili tu hii vita, anajua miaka 10 ijayo ataingiza pesa chafu.
 
US, Canada n.k wamepata soko kubwa la gas yao hapo Ulaya. Ndo maana US anafadhili tu hii vita, anajua miaka 10 ijayo ataingiza pesa chafu.
Tukisema US kachochea hii vita Kwa malengo yake binafsi,tutakuwa tunakosea?
 
Uchumi wa EU ukifa wa kwako utakuwa ulishazikiwa na kuoza kabisa
Waafrica wanafurahia USA na G7 kupata shida na wakati Ndio wanaotoa misaada kwa Sisi waafrica. Ngoja tusubirie mafuta yakifika Lita 1 ni Tshs 10,000 akili zitatukaaa Sawa. Na internet connection 1gigabyte ikifikia Tshs 40,000. Akili zitatukaaa Sawa
 
Hata ikifikia 100k sawa tu, tumechoka kuona US na vibaraka wake wakiifanya dunia ni kigoda Chao.

Binafsi ningependa zaidi kama bara la africa tungewekewe vikwazo vya kitoshirikiana nao kwa chochte ili tujikomboe kifikra na kiuchumi
 
Back
Top Bottom