Ujerumani: Euro bilioni 65 kutolewa kwa wananchi kukabiliana na gharama za maisha

Siwez kukujibu mzee maana unauliza kimajungu
Well, okey ila Umetafsiri kwa haraka na kwa namna tofauti, nimeuliza open na straight question.

Wamesema mbadala wa gesi kutoka urusi ni nn au suppliers wapya ni kina nani? Sijajua nn kimekupeleka kwenye majungu.
 
Well, okey ila Umetafsiri kwa haraka na kwa namna tofauti, nimeuliza open na straight question.

Wamesema mbadala wa gesi kutoka urusi ni nn au suppliers wapya ni kina nani? Sijajua nn kimekupeleka kwenye majungu.
Mkuu nikuulize Russia ndio wana gesi tuu dunian? Ukijua hilo kaa kimya acha wanaume wafanye yao
 
Mkuu nikuulize Russia ndio wana gesi tuu dunian? Ukijua hilo kaa kimya acha wanaume wafanye yao
Hata ss tuna gesi, ila hatuna miundombinu ya kuivuna hiyo gesi mpaka bara la ulaya. (PIPELINE STREAMS) ndo maana nikauliza mbadala ni nn au ni kina nani? Huenda kukawa na temporary streams zimetengenezwa, huenda wasitumie pipes. Swali linalenga kujua mbadala wa mfumo wa sasa uliopo.
 
Ndio nasema hakuna haja ya kumfikiria mteja mmoja jeuri kuwa utampoteza, wakati kuna wateja mia na ushehe wanaohitaji bidhaa hiyo hiyo
Yap SNAP, upo sawa mpaka pale yule uliyemfukuza atakapoumiza kichwa akaja na mbadala ambao utazalisha ushindani kwenye bidhaa yako. Viburi vinarekebishika kama politicians wakiweka ubabe pembeni. Unadhani watumiaji wa bidhaa raia wa kirusi na wa kigerumani wenyewe wana shida basi? Politicians.
 
Watanunua toka US mkuu,huo mzigo siyo wa kitoto
 
Tofautisha Kati ya nchi za Ulaya na za kiafrika ambazo ni mkusanyiko wa watu na sio nchi
 
Nimetaka taarifa ya plan B ya gesi ya serikali ya ugerumani sio ushindani wa uzalendo kwa nchi isiyo TZ kutoka kwa mtanzania mwenzangu.
Halafu Kuna Mentality ya watu ambao wanafikili Urusi ndio Ina Gesi pekee Duniani. Ukweli Ni kwamba,Mataifa mengi Yana Gesi Tena Kutosha. Mfano Ni Norway,Denmark,Angola,UAE,Quatar,Israel,Msumbiji,Canada,Marekani,Libya,n.k. Tatizo Ni Miundombinu ya kufikisha Gesi hiyo barani Ulaya. Ulaya walijiweka karibu Sana na Urusi na Kujenga Mabomba ya Gesi kutoka Urusi mpaka Ulaya na hivyo usafirishaji wa Gesi kutoka Urusi kwenda Ulaya Ni Rahisi zaidi kuliko sehemu nyingine.

Kwasasa ndio Ulaya wanaamka na kuona walijiweka kwenye Utegemezi wa Urusi hasa Ujerumani. Sasa Ujerumani inataka Kujenga LNG Terminal Kubwa 2 ili kuhifadhia Gesi kutoka Marekani na Canada ambayo itaweza kutumika kwa mwaka mzima Kama Terminal zote 2 zikijaa.
 
Kuwa na akili. Tatizo sio kupata gesi au kushusha mzigo. Tatizo ni gharama ya hiyo gesi. Umeme utakua ghali sana na udhalishaji wa bidhha pia utakuwa ghali sana na mfumuko wa bei utakjwa mkjbwa sana
 
Pro Russia mna uelewa finyu na hafifu sana panapo basic economics na biashara.
 
Gesi unaweza kusafirisha hata kwenye mitungi, sio lazima pipeline.
 
Gesi unaweza kusafirisha hata kwenye mitungi, sio lazima pipeline.
Unadhani gesi inayosafirishwa Kwa mwezi Kwa pipeline inaweza kusafirishwa Kwa mitungi Kwa muda gani?Vipi na gharama za kupakia na kupakia?Vp na gharama za usafirishaji?
 
Hakuna matengenezo yoyote yale, ilani mbinu tu.Ila huko mbeleni hiyo gesi itakuwa haina soko tena Ulaya kwani ktk kipindi hiki cha mpito wana pata shida lakini hawajabweteka tu, wanatafuta njia mbadala.ambayo baada kama ya mwaka mmoja watakuwa hawahitaji tena gesi ya urusi, hapo nani atakuwa na hasara?
 
Gesi ni silaha ya mwisho ya Urusi kuiadhibu ulaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…