Ujerumani: Euro bilioni 65 kutolewa kwa wananchi kukabiliana na gharama za maisha

Maelezo mazuri boss
 
Urussi haitegemei EU kama wateja wake kashaanza kupata wadau wapya. EU itawachukua miaka mingi kukaa swa na mpaka wakae sawa uchumi wao utakua umekufa tyr
 
Wao walisema wanaachana na utegemezi, urusi anawasaidia kufikia malengi yao haraka
 
Ndio nasema hakuna haja ya kumfikiria mteja mmoja jeuri kuwa utampoteza, wakati kuna wateja mia na ushehe wanaohitaji bidhaa hiyo hiyo
Urusi ss hv ataanza kupangiwa bei sabab ana limited market , majuz wahindi walianza kudai wapunguziwe bei
 
Urussi haitegemei EU kama wateja wake kashaanza kupata wadau wapya. EU itawachukua miaka mingi kukaa swa na mpaka wakae sawa uchumi wao utakua umekufa tyr
EU unawajua , au hujui kwann walikutawala ? ni watu wa kugundua alternatives za matatizo yao na ndio maana utandawaz wote duniani wameuleta wao , wao ndo wameiunganisha dunia kuwa kijiji
 
Kwaio wamejikwamua na utegemezi wa gei ya Russia?
 
Shida sio gesi , shida ni gesi ya gharama nafuu, kama gharama zako za uzalishaji zitakua juu na bado mnataka kuipiga pini china kibiashara itakua ni kutwanga maji kwenye kinu............huu ndo wakati nchi za Asia kutawala kiuchumi na kijeshi
 
US, Canada n.k wamepata soko kubwa la gas yao hapo Ulaya. Ndo maana US anafadhili tu hii vita, anajua miaka 10 ijayo ataingiza pesa chafu.
 
US, Canada n.k wamepata soko kubwa la gas yao hapo Ulaya. Ndo maana US anafadhili tu hii vita, anajua miaka 10 ijayo ataingiza pesa chafu.
Tukisema US kachochea hii vita Kwa malengo yake binafsi,tutakuwa tunakosea?
 
Uchumi wa EU ukifa wa kwako utakuwa ulishazikiwa na kuoza kabisa
Waafrica wanafurahia USA na G7 kupata shida na wakati Ndio wanaotoa misaada kwa Sisi waafrica. Ngoja tusubirie mafuta yakifika Lita 1 ni Tshs 10,000 akili zitatukaaa Sawa. Na internet connection 1gigabyte ikifikia Tshs 40,000. Akili zitatukaaa Sawa
 
Hata ikifikia 100k sawa tu, tumechoka kuona US na vibaraka wake wakiifanya dunia ni kigoda Chao.

Binafsi ningependa zaidi kama bara la africa tungewekewe vikwazo vya kitoshirikiana nao kwa chochte ili tujikomboe kifikra na kiuchumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…