Mnachihangu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2022
- 890
- 1,022
Haya mambo yanatokana na kabilaImefuna ~Imevuna?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mambo yanatokana na kabilaImefuna ~Imevuna?
Pamoja na hayo kwa hesabu zilivyo Ujerumani anaingia hatua ya 16Ujerumani Ni taifa kubwa kiuchumi sana
Ingawa juzi kwenye kuwasili kwenye kombe la dunia akitokea mjini Frankfurt aiifika na nembo za kuashiria kukubali ushonga na kusapoti ushoga lengo na makusudi yake ilikuwa kuwaudhi waarabu, waarabu wakawakatalia kutua katika uwanja wao waondoke wakabadili nguo na jezi zao pamoja na kubadili ndege yao yenye alama za kusapoti ushoga ndipo wakatii amri.
Kudos Sana Serikali ya Qatar hamkujali lolote au yeyote Kuja kuwavurugia utaratibu wenu mliojiwekea Ila sina hakika Sana kuwa mko serious
Ujerumani imechapwa na Japan na leo tena katoa draw na ESPN naona, hii ni laana kabisa wamevuna kutoka Qatar
Kundi lao yupo
ESPN 4
Germ 1
Costarica 3
Japan 3
Namuona Japan na ESPN wakizonga mbele Zaid
Nawasilisha nilikuwa nimesafiri Sasa nimerudi mjini JF
UJERUMANI ASIPOFUZU RAUNDI YA 16 BORA NIITE PAKA NYAU NIMEKAA PALE KWA SEREMALA.Inafikaje wakati anashika mkia kwa point moja wakati wenzio wote Wana point nne nne
Kiarusha tunasema, imeisha hyo "