Ujerumani imevuna alichopanda mjini Doha

Ujerumani imevuna alichopanda mjini Doha

Msimamo huu ungesambaa mpaka kwa jamaa zao walioko Pate, Lamu, Mombasa na visiwa vingine vya karibu na Tanga
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanafika ukooo msimamo Ni kwamba ushoga Ni upumbavu hvyo hakn namna ya kuipromoti ktk nchi ya Qatar
 
Nakumbuka mwaka 2018 kombe la Dunia ujeruman alikuwa hivi hivi ,alikuwa anahitaji ushindi ili afuzu 16 Bora ,Tena game ya mwisho alikuwa anacheza na Korea kina son ......basi watu wakajua kabisa ujeruman anaenda kumchapa goli za kutosha Korea kudadekiiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mpira sio kitu rahisi .....

HT ilikuwa 0-0 ,siku hio Korea waliwaka moto baraaa kina son walikuwa wanakimbia uwanjan utafikili wametumwa ...

Kipindi Cha pili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujeruman alipigwa goli 2 kama amekaa ,goli la son dakika ya 90+ aliwafanya ujeruman kukusanya virago kutoka Russia ....mpaka wakasema ozil ndio alikuwa mvivu uwanjan ,maneno yakawa mengi kwake ozil akaona msilete ufala akaijitoa timu ya taifa ,na kusema amestafu ....

Sasa kuna watu wanachukilia poa Costa Rica ,ila nawambia ujerumani ataita maji mmaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] aiseee umenikumbusha mbali Sana nimekumbuka Hilo sakata mkuu Hadi ozil akahama nnchi na kuamia uturuki nadhani rais wa uturuki recep typu edorgan alimuita
 
Hao ni ma-hostadh haikua rahisi kwao wamekutana na mipini,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaaah umekamatwaaaaaa, wao ndo mashoga wazoefu, ndo maan wametolewa mapemaaaaaaa.

Takbriiiiiiiiiiiiiiiiiiih!!!!
 
Yes ! Watu tunaishi na kusavaivu na beliefs ambazo haziko proved for billions of years,tunakuwa subjective mno ,yaani mtu ubongo wake ama chatting,or all committee going on his mind tunadhani kuwa wao jamaa wako sahihi wanavyokuwaga wanaongea kichwani mwetu.
Wengine Ni waongo tusiwape nafasi.
Yaani kichwa muda wote Kuna watu wadogodogo wanaongea ndani ya bongo zetu. Tujaribu ku mute brain zetu huwa zinatupoteza na smt.
No formula German akibeba kombe utamuona anakuja na gia nyingine tena.
German hawawezi beba kombe hili lzm atafurushwa virago mapema Sana je unakumbuka kilichompata Russian mbele ya Korea kina son ndio hicho hicho
 
Nyie mnaosapoti mizimu, uganga na uchawi kisha Ijumaa na Jumapili kuingia nyumba za Ibada mko nafasi ya ngapi?

Sisapoti ushoga, ila nakemea unafiki
Kwani kuna nchi duniani hawabudu mizimu?wala hawana uchawi? Tatizo lako ni unasapport ushoga ila unataka kujificha hivyo umetafuta sababu ya kuwananga wanaopinga ili kujiridhisha
 
Kwani kuna nchi duniani hawabudu mizimu?wala hawana uchawi? Tatizo lako ni unasapport ushoga ila unataka kujificha hivyo umetafuta sababu ya kuwananga wanaopinga ili kujiridhisha
Sandali Alli s shoga tu hkn kupepesa macho [emoji23]
 
German hawawezi beba kombe hili lzm atafurushwa virago mapema Sana je unakumbuka kilichompata Russian mbele ya Korea kina son ndio hicho hicho
Lengo langu lilikuwa Ni kuongelea beliefs kuwa sio kanuni Ila Ni mawazo na mawazo yetu Ni watu wengi wanaongea na kutushauri huko kichwani ,yaani Ni Kama kuwa Kuna mkutano inafanyika na sie ndio chairman of committee board.
 
Watanzania ni watu wajinga mnoo,kati ya matatizo lukuki mliyo nayo..ushoga ndo tatizo pekee linalo wasumbua? Kila siku mada zenu ni ushoga tu..pambaneni kwanza na Maradhi,ujinga pamoja na Umaskini.
Usituchagulie matatizo ya kuanza nayo,sisi tunakemea ushoga,wewe endelea na hayo mengine
 
Back
Top Bottom