Ujerumani imevuna alichopanda mjini Doha

Ujerumani imevuna alichopanda mjini Doha

alikuwa anahitaji ushindi ili afuzu 16 Bora ,Tena game ya mwisho alikuwa anacheza na Korea kina son ......basi watu wakajua kabisa ujeruman anaenda kumchapa goli za kutosha Korea kudadekiiiiiii
Kwa mpira gani? Kwanza Jana alikua anakufa kwa Spain, hii ujerumani hapiti kufika 16 bora
 
Msimamo huu ungesambaa mpaka kwa jamaa zao walioko Pate, Lamu, Mombasa na visiwa vingine vya karibu na Tanga
Kwa hio wewe una-support ushoga? Ujerumani anatolewa mechi inayofuata na Costa Rica anaenda kufa kifo kibaya, jana Costa Rica kaanza na Japan mechi ijayo anammalizia Mjerumani, wanaopita ni Spain na Costa Rica
 
Hujui hata hesabu ya point!Wenzake hao wenye nne nne ni akina nani?Mechi ya mwisho Ni Spain vs Japan, Germany vs Costa Rica!

Hapo Germany anatakiwa ashinde magoli mengi Ili afuzu Moja Kwa Moja bila kuangalia matokea ya Spain na Japan!Iwapo Spain atamfunga Japan,basi Ujerumani atahitaji ushindi wa bao Moja tu kufuzu!!Iwapo Spain atatoa sare na Japan basi Ujerumani atahitaji kushi Kwa goli mbili Ili amzidi goal difference Japan na aweze kufuzu!
Iwapo Japan atamfunga Spain,hapo ndio tutaangalia kashinda Kwa goli ngapi Ili Ujerumani aweze kufuzu!
Kaka mm naelewa hyo ishu yote ila sasa mjerumani awezi pita lazma Japan atamuaribiaaa tu

Tuko hapa tutarejeaa ikifika siku hyo Germany anakwenda 16 bora
 
Kwa hio wewe una-support ushoga? Ujerumani anatolewa mechi inayofuata na Costa Rica anaenda kufa kifo kibaya, jana Costa Rica kaanza na Japan mechi ijayo anammalizia Mjerumani, wanaopita ni Spain na Costa Rica
Waarabu wawaambie na jamaa zao walioko maeneo niliyoyataja, huko nakomatumizi ya back door yamekithiri
 
Unajua kwenye kundi Zinapita timu ngapi? Mpira umevamiwa aisee!

Eti alifungwa atabaki na goli 8,kinachoangaliwa ni goal difference! Spain ana gd ya 7,alifungwa hiyo gd inashuka,akipgwa Moja,inabaki 6, akipgwa 2-0,inabaki 5 na kuendelea!
Sawa mtaalum
 
Inafikaje wakati anashika mkia kwa point moja wakati wenzio wote Wana point nne nne

Kiarusha tunasema, imeisha hyo "
Kwenye kila group wanapita wawili kwenda round of 16 so kama German atamfunga Costarica na Spain akamfunga Japan maana yake ndani ya hili kundi atapita Spain na Japan maana Spain atakuwa na point 7, Germany point 4, Japan na Costarica wote wanabaki na point 3.
 
Inafikaje wakati anashika mkia kwa point moja wakati wenzio wote Wana point nne nne

Kiarusha tunasema, imeisha hyo "
Kwani mechi zimeisha? Wakati mwingine mnapokuja humu basi walau muwe mnafahamu wanaosonga mbele wanatakiwa wavune nini katika kundi
 
Kwenye kila group wanapita wawili kwenda round of 16 so kama German atamfunga Costarica na Spain akamfunga Japan maana yake ndani ya hili kundi atapita Spain na Japan maana Spain atakuwa na point 7, Germany point 4, Japan na Costarica wote wanabaki na point 3.
Spain ndio Nani Tena mkuu[emoji1787][emoji1787] Ni ESPN bhna acha kuaribu maana
 
Kwani mechi zimeisha? Wakati mwingine mnapokuja humu basi walau muwe mnafahamu wanaosonga mbele wanatakiwa wavune nini katika kundi
Tunasema ujerumani watafuna walichopanda katu hatasonga mbele hata kwa kanuni tu havuki mshenzi Yule acha akafirane tu
 
Back
Top Bottom