Nakumbuka mwaka 2018 kombe la Dunia ujeruman alikuwa hivi hivi ,alikuwa anahitaji ushindi ili afuzu 16 Bora ,Tena game ya mwisho alikuwa anacheza na Korea kina son ......basi watu wakajua kabisa ujeruman anaenda kumchapa goli za kutosha Korea kudadekiiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mpira sio kitu rahisi .....
HT ilikuwa 0-0 ,siku hio Korea waliwaka moto baraaa kina son walikuwa wanakimbia uwanjan utafikili wametumwa ...
Kipindi Cha pili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujeruman alipigwa goli 2 kama amekaa ,goli la son dakika ya 90+ aliwafanya ujeruman kukusanya virago kutoka Russia ....mpaka wakasema ozil ndio alikuwa mvivu uwanjan ,maneno yakawa mengi kwake ozil akaona msilete ufala akaijitoa timu ya taifa ,na kusema amestafu ....
Sasa kuna watu wanachukilia poa Costa Rica ,ila nawambia ujerumani ataita maji mmaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]