Dar es Salaam na miji mikubwa ya Afrika kwa ujumla sio mahala salama kuendesha baiskeli. Hatuna barabara zilizotengwa kwa usafiri huo, mshauri aachane na hilo wazo. Mwambie huku sio Amsterdam hata njia za watembea kwa miguu tu unatembea ukiwa makini.Kuna dogo mmoja kahama makazi Dar, amehamia nje kidogo ya mji.
Akawa anasema anafikiria kutumia baiskeli kama usafiri.
Kutumia baiskeli kwa usafiri Dar kuna usalama kiasi gani?
Halafu mayai hayavunjiki wala hayapasuki, na vurugu zote zile za barabara za Dar.Awe makini tu mbona kuna wauza mayai wanatoka Tegeta hadi GMboto
Na mimi huu ndio wasiwasi wangu mkubwa.Dar es Salaam na miji mikubwa ya Afrika kwa ujumla sio mahala salama kuendesha baiskeli. Hatuna barabara zilizotengwa kwa usafiri huo, mshauri aachane na hilo wazo. Mwambie huku sio Amsterdam hata njia za watembea kwa miguu tu unatembea ukiwa makini.
Kuna mmoja nilimshuhudia anawahi Kariakoo kununua Mayai alikua na mkono 1 ila anaendesha baiskeliHalafu mayai hayavunjiki wala hayapasuki, na vurugu zote zile za barabara za Dar.
Aisee hicho nacho ni kipaji.
Mfano wapi?Kuna sehemu bado miundombinu ni rafiki lakini wapi!
Nchi ya Ujerumani ina idadi ya watu milioni 82 huku watu hao wakimiliki jumla ya baiskeli milioni 81. Ujerumani inayo jumla ya magari milioni 48. Mtoto akifika miaka 11 anatakiwa kujifunza na kukata leseni ya baiskeli ili kuweza kuendesha baiskeli kwenye barabara za umma. Barabara husika nyingi zimetengwa sehemu ya waendesha baiskeli.
Jumla kulikuwa na ajali 85,000 za baiskeli nchini Ujerumani huku 372 kati yao wakipoteza maisha Cologne na Berlin zikiongoza kwa ajali! Wajerumani wameamua kujenga barabara za mwendokasi za baiskeli. Ulaya matumizi ya baiskeli ni maarufu huku Amsterdam ukiwa machampioni. Matumizi ya baiskeli yanaimarisha afya na kutochafua mazingira.
Tanzania kwa mijini wengi wanaoendesha baiskeli ni wale wasioweza kumudu gharama za nauli na kwa baadhi ya mikoa iliyokuwa na utamaduni wa kutumia baiskeli, utamaduni huo unakufa taratibu baada ya kutamalaki kwa ujio wa boda!
Taarifa kwa msaada wa DW
Huyo na wenzake kama yeye inafaa tuwafanyie documentary ya "Tanzanian Profiles in Courage".Kuna mmoja nilimshuhudia anawahi Kariakoo kununua Mayai alikua na mkono 1 ila anaendesha baiskeli
Yule alisababisha nisisaidie watuHuyo na wenzake kama yeye inafaa tuwafanyie documentary ya "Tanzanian Profiles in Courage".
Kuna sehemu labda ni typing error. Hakuna leseni ya kuendesha baiskeli hapo Ujeruman. Nina uhakika na Ninacho andika hapa kwani nimepanda sana baiskeli hapo nilipo kuwa mwanafunzi sehemu za Mannheim. Ilikuwa ni mkakati wa ku-serve pesa badala ya kupanda Tram au bus. Ila nchi ya ulaya yenye baiskeli zaidi ni Holland jirani yake. Germany inafuatia. I stand to be correctedNchi ya Ujerumani ina idadi ya watu milioni 82 huku watu hao wakimiliki jumla ya baiskeli milioni 81. Ujerumani inayo jumla ya magari milioni 48. Mtoto akifika miaka 11 anatakiwa kujifunza na kukata leseni ya baiskeli ili kuweza kuendesha baiskeli kwenye barabara za umma. Barabara husika nyingi zimetengwa sehemu ya waendesha baiskeli.