Ujerumani inajiandaa na WWIII? Taarifa zilizovuja zaonesha kuwa inaandaa wanajeshi 800,000 kwa ajili ya kupambana na Urusi



Tawala za kifisadi zinapotawala dunia zinatuletea shida sana.

Mabepari ni hatari sana maana wanalazimisha kuhodhi rasilimali za dunia nzima kwa nguvu.

Wanataka waitawale Urusi na rasilimali zake wazigawane .
Ukiangalia unajiuliza kwani wanapata faida gani kuishambulia Urusi. Vita imewasaidia nini wananchi wa kawaida zaidi ya Mabepari wasio na huruma zaidi ya kutafuta mali na kufanya biashara ya madawa na silaha?
Hata hivyo ni hizo nchi zetu tu kutawaliwa na mawakala wa wazungu na waarabu . Wazungu wanaopigania Afrika kwa nguvu kubwa sana na bahari mbaya Tanzania wakatusekea Vasco da gama aliyewapigia picha za video na kuwaonyesha utajiri wote wa nchi kupitia mradi wa Wakoloni mambo leo uliopewa jina maarufu la Roho tua.
Ule ulikua ni mradi wa maandalizi ya scramble and partition of Afrika uligharamikiwa na kuandaliwa na mabeberu wakishirikiana na watawala wa nchi za kiafrika zenye rasilimali nyingi kama Tanganyika.

Wacheni wazungu na mafisadi wa magharibi na mashariki wamalizane ,maisha yalikuwepo kabla ya wazungu kuja Afrika mabunduki yao.

Wazungu wakipigana na kudhaafushana na hata kuibuka kwa Vimbunga na mafuriko makubwa kwetu sisi ni Nafuu kubwa . Wazungu ,waarabu na wachina wacheni wamalizane kabisa .Wapige hata Nyuklia . Sisi nyukilia tumeizoea kama Jiko la kuni tu . 😂😂😂😂😂😂.
 
hv Putin angetoa majeshi ndan ya Ukraine tungefika huku ?je ni halali Urusi KUVAMIA Ukraine ? Watu kama ww soon mtaweuka
 
Wajerumani nao kwa gubu au bado wana kisasi tangu walivyopelekewa moto mwaka 45 na Mrusi , shida ya mrusi utampiga weee ukishaamini kachoka kabisa huyu ndio anaamka na kuanza kukubarthazar ukasimulie mbele huko

Bideni ni mwendawazimu na msaidizi wake Kamala ni wa hovyo sana . Anasapoti ushoga .
Mwanamke anayesapoti ushoga ni shetani kwa sura ya mwanamke.

Shetani kazi yake ni kuua na kuangamiza roho za watu kwa sababu ya uroho wa mali.
Vita zote zinasababishwa na mabeberu wanaosaka mali za dunia nzima ziwe za kwao kama vile wao wataishi milele.
 
Hakuna nchi za hovyo duniani kama Europe, vita vyote vibaya duniani wao ndio waanzilishi, ushoga wote duniani wao ndio waanzilishi. wanamuogopa Trump anakuja kuwanyosha sasa wanataka kufanya kila baya kabla yule mzee Biden kuondoka ili kuchanganya mambo kuwa magumu. Trump atakuja kuwanyosha mbwa hawa.
 

Hivi kwa Zanzibar ikitaka kujitega ili iungane na Somalia tutaiacha au mnatetea tu mashoga wa dunia na Mabasha na mashosti zenu wa kusagana?
 
I
Ujinga wa kuivamia Ukraine afanye Putin, halafu wa kulaumiwa awe Biden!!
 
Keywords: In case Russia invade NATO. Biden has got nothing to do with it.
 
Dunia imekqa muda mrefu bila vita,ebu kuchangamke kidogo.
 
Israel inaweza kuita Wanajeshi wengi leo kuliko Ujerumani, hii Taarifa ni uwongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…