TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Time will tellUrusi lazma ataanguka kama ilivyo anguka USSR
Time will tell
armagedoni ni mapigano kwa israel pale itakapochangiwa na mataifa mengi ya dunia. Unaambiwa hadi afrika itapeleka majeshi yake, ni vita kubwa itapiganwa kwa silaha kali za kisasa zikiwemo za mionzi, kikemia na kibayolojia, ukiwahiwa ndio basi mjubaPameanza kupambazuka Armagedon hiyo
Sanaa ya vitaLazma mzee vita lazma vimrudishe zama za kijima
Nadhani vita ya dunia imeisha anza tayariHii vita inaenda kuwa vita kuu ya dunia
Walipeleka vikosi Afghanistan kupigana na Taliban.Germany wapo siriaz sana!kama wakiingia mzigoni ni hatari sana!
Kwa miaka ya karibuni sijawahi sikia Germany ikijihusisha na vita yeyote ile!sasa kama wameingia ni hatari sana kwa Dunia,athari ya vita hivi kidunia itakua kubwa!!
Je Putin ataanz Kupipiga ujerumani!?kwa kuingilia hii vita!!?
Ngoja tuone!
Ujerumani itafilisika.HABARI Kansela wa Ujerumani, Friedrich Merz, amewasili katika mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, akisema Rais Volodymyr Zelenskiy anaweza kutegemea uungwaji mkono wa Ujerumani, huku mashambulizi ya Urusi yakizidi.
Merz, pamoja na wakuu wa kampuni kadhaa za ulinzi, amesema mashine ya vita ya Urusi itaelekeza nguvu zake kwa nchi nyingine iwapo haitazuiwa.
Ujerumani inaipatia Ukraine msaada wa kijeshi wenye thamani ya hadi euro bilioni moja, ukiwemo mifumo ya ulinzi ya kukabiliana na ndege mpya zisizo na rubani zinazotumia injini za ndege, zinazotumiwa na Urusi.
Rais Zelenskiy amesema Vladimir Putin anaidhinisha mashambulizi yanayolenga raia, baada ya kushindwa kupata ushindi wa kijeshi.
Iwafukize hao washenzi wa Kiarabu, ni hasara na waharibifu wa ustaarabu popote waendapoUjerumani itafilisika.
Tayari uchumi wake unayumba na inakabiliwa na balaa la wahamiaji toka Mashariki ya Kati.
Kupigana na mtu ambaye hana cha kupoteza kama Russia ni kujitafutia matatizo zaidi