Ujerumani kurejesha kazi za sanaa na vito vilivoporwa Barani Afrika enzi za Ukoloni wao

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Ujerumani imesema ipo tayari kurejesha vitu vilivyoporwa kutoka katika bara la Afrika wakati wa ukoloni zikiwemo kazi za sanaa kutoka Tanzania wakati wa Vita vya Maji Maji na migogoro mingine wakati wa utawala wake wa kikoloni wa mwanzoni mwa karne ya 20.

Taasisi ya Prussian Cultural Heritage Foundation ya mjini Berlin ambayo inasimamia sehemu za makumbusho imesema ipo katika mazungumzo kuhusu kurejesha kazi za sanaa kwa Namibia, Tanzania na Cameroon.

Miongoni mwa mabaki yatakayorejeshwa ni sanamu ya mungu wa kike Ngonnso’ wa Cameroon ambayo imekuwa sehemu ya mkusanyiko wa Makumbusho ya Ethnological ya Berlin tangu 1903, baada ya "kutolewa" na afisa wa kikoloni wa Ujerumani ambaye aliichukua kwa nguvu kutoka Nso'.

.................................................................

Priceless artefacts removed and looted from African nations during Germany’s colonial period will be permanently returned, officials said. The Berlin-based Prussian Cultural Heritage Foundation, which manages the German capital’s many museums, said on Monday it had entered into negotiations on the returns of artefacts to Namibia, Tanzania and Cameroon.

Among the artefacts to be returned is a shell-studded statue of the mother goddess Ngonnso’, which holds great spiritual significance for the Nso’ people of northwest Cameroon, the foundation said.The statue has been part of the collection of Berlin’s Ethnological Museum since 1903, after it was “donated” by a German colonial officer who had taken it by force from the Nso’.

The board also approved the permanent return of 23 artefacts, including jewelry, tools and fashion items, to Namibia. The objects, also stolen during the colonial period from 1884 to 1919, were sent to Namibia last month for research purposes and will now remain there.

The foundation said its president had also been authorized to sign an agreement on the return of objects Germany looted from Tanzania during the Maji Maji Rebellion and other conflicts during its early 20th-century colonial rule.

The foundation’s president, Hermann Parzinger, welcomed the move to return the artefacts.
“The decision makes clear that the issue of the return of items collected in a colonial context does not always come down to injustice,” he said.

“The special significance – in particular spiritual – of an artefact for the community it originated from may also justify return,” he added.

SOURCE: A JAZEERA
 
Wezi wakubwa hawa
 
Hawa pigs walikua wabaguzi Hata lugha yao Walishindwa kufundisha na kuiacha kwa babu zetu naona waliogopa waswazi kujaa kwao[emoji23]
 
Ndiyo maana hakuna mabaki ya maana ya lugha ya kijerumani
 
Na gold pia amah?..[emoji23]
 
Back
Top Bottom