Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Baada ya kushupaza shingo kwa miezi kadhaa kuhusu kulipia gesi kwa sarafu ya Ruble, mwisho aa siku Ujerumani imetababahi kuwa haina msuli wowote wa kususia au kuacha kutumia gesi ya Russia.
Ujerumani na shoga yake Italy wameona isiwe tabu, waendane na matakwa ya Putin wasije katiwa gesi. Wamefungua akaunti kibao za sarafu ya Ruble ili kulipia manunuzi ya gesi ya Russia.
Ujerumani na shoga yake Italy wameona isiwe tabu, waendane na matakwa ya Putin wasije katiwa gesi. Wamefungua akaunti kibao za sarafu ya Ruble ili kulipia manunuzi ya gesi ya Russia.