Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Amna mkate mgumu mbele ya chaiBaada ya kushupaza shingo kwa miezi kadhaa kuhusu kulipia gesi kwa sarafu ya Ruble, mwisho aa siku Ujerumani imetababahi kuwa haina msuli wowote wa kususia au kuacha kutumia gesi ya Russia.
Ujerumani na shoga yake Italy wameona isiwe tabu, waendane na matakwa ya Putin wasije katiwa gesi. Wamefungua akaunti kibao za sarafu ya Ruble ili kulipia manunuzi ya gesi ya Russia.
View attachment 2233678
Kwahiyo Russia ni chai?
Alichokosea USA kuitumia dollars km fimbo ya kuchapia wengine issue kidogo unaambiwa hakuna kutumia dollar wakati yy ndio anafaidika na hyo biashara ni bora tu kuachana nayo asitumie kunyanyasa wenziePetrodollar inaenda kua toilet paper haha napenda na nchi nyingine waige Urusi bidhaa niuze mimi afu nitumie hela ya mtu mwingine ujinga!
Mrusi ni taifa staarabu sana yani😅 imagine miaka yote hio anafanya biashara na NATO in their terms kwamba awauzie wese kwa Dollars jamaa akawa yuko calm tu hana noma nao japo ni wapinzani wake.Petrodollar inaenda kua toilet paper haha napenda na nchi nyingine waige Urusi bidhaa niuze mimi afu nitumie hela ya mtu mwingine ujinga!
Ameitumia kama silaha kiuchumi sababu kaisambaza sehemu kubwa ulimwenguni. Biashara nyingi zinatumia exchange in dollars. Ni bora tuiteme tu sasa.Alichokosea USA kuitumia dollars km fimbo ya kuchapia wengine issue kidogo unaambiwa hakuna kutumia dollar wakati yy ndio anafaidika na hyo biashara ni bora tu kuachana nayo asitumie kunyanyasa wenzie
Ni dalili mbaya kwa NATO,hapa kila mmoja anamaamuzi yake.Unajua mwishon atabaki mmrekan pekee kwenye hili sakata
Na amefanikiwa kwa [emoji817],mwizi sikuzote huwa Hana njia mbadala ,zaidi ya kuiba au kuwa mfitini(USA gwiji wa fitna)Wakati wao wakikwiba Mali Africa yeye mrusi alishinda kwenye baridi akitafuta Gesi na mafuta ili aitawale ulaya