Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Aisee kumbe Dunia yaenda kasi hivi kwenye mhimili wake...Kweli nchi za Ulaya ikiwemo Germany (Ujerumani) zimefikia hatua ya kutumia kuni kama chanzo cha nishati?! Yaani wanapasua magogo ya kuni na kuziwasha/choma kama bibi yangu anavyofanya kule Lupembe, Njombe vijijini!
Aisee ni jambo la kushangaza mno na pengine mtu ukapata kigugumizi ktk kuamini hilo, hasa kama umewahi kuishi kwenye nchi za Ulaya zile zilizopo Ulaya kaskazini na magharibi (The Northern and Western Europe region) ambazo ni ktk nchi tajiri Duniani.
Ila kwa kuwa habari hizi zaripotiwa na Marekani 🇺🇸 🇺🇸(The US News, Yahoo Finance) inabidi niziamini.
Shikamoo Putin umeifanya gesi kutoshikika Ulaya kwa bei ilivyo juu 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
=====