Ujerumani na Poland zaanza kutumia kuni kama chanzo cha nishati

Ujerumani na Poland zaanza kutumia kuni kama chanzo cha nishati

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
2,926
Reaction score
15,634
Aisee kumbe Dunia yaenda kasi hivi kwenye mhimili wake...Kweli nchi za Ulaya ikiwemo Germany (Ujerumani) zimefikia hatua ya kutumia kuni kama chanzo cha nishati?! Yaani wanapasua magogo ya kuni na kuziwasha/choma kama bibi yangu anavyofanya kule Lupembe, Njombe vijijini!

Aisee ni jambo la kushangaza mno na pengine mtu ukapata kigugumizi ktk kuamini hilo, hasa kama umewahi kuishi kwenye nchi za Ulaya zile zilizopo Ulaya kaskazini na magharibi (The Northern and Western Europe region) ambazo ni ktk nchi tajiri Duniani.

Ila kwa kuwa habari hizi zaripotiwa na Marekani 🇺🇸 🇺🇸(The US News, Yahoo Finance) inabidi niziamini.

Shikamoo Putin umeifanya gesi kutoshikika Ulaya kwa bei ilivyo juu 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
=====

SmartSelect_20220831-202109_Chrome.jpg

SmartSelect_20220831-201750_Chrome.jpg

SmartSelect_20220831-201849_Chrome.jpg
 
Aisee kumbe Dunia yaenda kasi hivi kwenye mhimili wake...Kweli nchi za Ulaya ikiwemo Germany (Ujerumani) zimefikia hatua ya kutumia kuni kama chanzo cha nishati?! Yaani wanapasua magogo ya kuni na kuziwasha/choma kama bibi yangu anavyofanya kule Lupembe, Njombe vijijini!

Aisee ni jambo la kushangaza mno na pengine mtu ukapata kigugumizi ktk kuamini hilo, hasa kama umewahi kuishi kwenye nchi za Ulaya zile zilizopo Ulaya kaskazini na magharibi (The Northern and Western Europe region) ambazo ni ktk nchi tajiri Duniani.

Ila kwa kuwa habari hizi zaripotiwa na Marekani [emoji631] [emoji631](The US News, Yahoo Finance) inabidi niziamini.

Shikamoo Putin umeifanya gesi kutoshikika Ulaya kwa bei ilivyo juu [emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1487]
=====

View attachment 2341246
View attachment 2341245

View attachment 2341247
Kama Hizo kuni Ni za kwao Shida iko wapi? Ukiachilia mbali Mambo ya Gas,Wazungu Nyumba zao Zina Kitu kinaintwa Tandoor. Hili Ni Kama Tanuru ambao linawekwa kuni na Nyumba nzima kupata joto. Ingia YouTube uangalie Jimbo la Siberia la Urusi Wilaya moja inaitwa YAKUTIA,Kule Kuna baridi kubwa Sana na wanatumia kuni kupasha joto majumba Yao.
 
Shida yote ya nini? Yaani mataifa ya EU unaweza kufikiri walipata uhuru wa bendera tu au wanajiona EU nzima ni jimbo la 51 la Merikani kwa hiyo hawawezi kufanya mahamuzi ya mstakabari wa nchi zao bila ya kuomba kibali kutoka Merikani - hii inasikitisha sana na kutia aibu, viongozi wa EU wako radhi raia/nchi to go back to stone age era ya kuanza kutumia kuni pamoja na mkaa wa mawe ili wasikasirishe Utawala wa Merikani wakikihuka vikwazo vya kiuchumi US ilivyo iwekea Urusi kwa kulazimisha International Community ikubaliane na matakwa yao (US) ya kisiasa, hivi sasa EU inajuta kimya kimya kwa kuingizwa mkege na Biden.
 
Kama Hizo kuni Ni za kwao Shida iko wapi? Ukiachilia mbali Mambo ya Gas,Wazungu Nyumba zao Zina Kitu kinaintwa Tandoor. Hili Ni Kama Tanuru ambao linawekwa kuni na Nyumba nzima kupata joto. Ingia YouTube uangalie Jimbo la Siberia la Urusi Wilaya moja inaitwa YAKUTIA,Kule Kuna baridi kubwa Sana na wanatumia kuni kupasha joto majumba Yao.
Mafal@ wengi humu
 
Back
Top Bottom