Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Taarifa zilizopo mitandaoni na vyanzo vingine vya Habari ujerumani na ufaransa zimeungana pamoja kuhusu Sakata la netanyau kukamatwa
..
Na kuitosa marekani
..
Na kuitosa marekani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa akili yako kuna mwenye ubavu wa kumkamata Netanyahu?Taarifa zilizopo mitandaoni na vyanzo vingine vya Habari ujerumani na ufaransa zimeungana pamoja kuhusu Sakata la netanyau kukamatwa
..
Na kuitosa marekani
kwanini asikamatwe...aende urusi,ujerumani,ufaransa au south afrika aone kama yeye hakamatikiKwa akili yako kuna mwenye ubavu wa kumkamata Netanyahu?
Kwa nini unampangia nchi za kwenda?kwanini asikamatwe...aende urusi,ujerumani,ufaransa au south afrika aone kama yeye hakamatiki
simpangii ila ukweli ni kwamba hawezi kwenda huko kwa sasa coz atakamatwa kweli,ataenda kwenye nchi ambazo haziungi mkono warranty ya ICC tu hata Norway wameshasaini hati ya kumkamata endapo ataenda hukoKwa nini unampangia nchi za kwenda?
Kiukweli sidhani kama Netanyahu akienda SA watamkamata, labda siku akitoka madarakani, uwezo wa kumkamata wanao lakini consequences zitakazojitokeza hakuna atakayetaka hilo.Kwa akili yako kuna mwenye ubavu wa kumkamata Netanyahu?
Akili za kuku hizi.Kwa akili yako kuna mwenye ubavu wa kumkamata Netanyahu?
Akili zako za Mujahedeen.Akili za kuku hizi.
1. Hanyi?
2. Hajambi?
3. Halalali?
4. Haumwi na njaa?
lipi analo ambalo wewe huna? Alikuwepo Farau ambae akivuma siku ya siku kaliwa na samak mdogo tu akafa
Si wakamsake hapo kwakesimpangii ila ukweli ni kwamba hawezi kwenda huko kwa sasa coz atakamatwa kweli,ataenda kwenye nchi ambazo haziungi mkono warranty ya ICC tu hata Norway wameshasaini hati ya kumkamata endapo ataenda huko
Kama hakuna mwenye ubavu wa kumkamata apeleke hayo masiko yake kama popo kwenye hizo nchi kama hawajamkamata.Kwa akili yako kuna mwenye ubavu wa kumkamata Netanyahu?
Aende kufanya nini?kwanini asikamatwe...aende urusi,ujerumani,ufaransa au south afrika aone kama yeye hakamatiki
Aende kufanya nini kwenye hivo vinchi?Kama hakuna mwenye ubavu wa kumkamata apeleke hayo masiko yake kama popo kwenye hizo nchi kama hawajamkamata.
Sasa analialia nini kama haina madhara kwa upande wake. Leo ulaya mnaita vinchi 🤣🤣 na badooAende kufanya nini kwenye hivo vinchi?
Unajua maana muhajadeen au ndio akili za kikiristo tena? Mujaheedena sawa na kumuita mwenyekiti wako Mbowe kamanda MboweAkili zako za Mujahedeen.
Wanaolialia wapo Gaza, Iran.Sasa analialia nini kama haina madhara kwa upande wake. Leo ulaya mnaita vinchi 🤣🤣 na badoo
Hata wewe unalia na njaaWanaolialia wapo Gaza, Iran.