Ujerumani na ufaransa waitosa marekani waungana pamoja norway na spain sakata la icc

Kilichofanyika Gaza ni mauaji ya kigaidi, hali inatisha ni vile tu vyombo vya habari vya magharibi havisemi, lakini ingekuwa si Israel imefanya hivyo ni taifa lenye uhasimu na west, kwanza ingeandaliwa nakala ya video ya kutisha iliyoandaliwa na studios kubwa duniani kama MGM, NetFLix, Paramount, SONY, BBC, Fox n.k halafu inapigwa promo za hatari kuzungumzia ugaidi iliofanyika.

Halafu baada ya hapo ICC wanafuatia , halafu wanaingia NATO, hapo anatafutwa mtu hadi apatikane.

Netanyahu amefanya uhalifu watu elfu 33 unaua. Jamaa amekosea sana.
Wale 1200 ulidhania hawakutakiwa kuishi?? Kwa ujinga wako umekurupuka kisa dini ya uchwala na usela mavi wako unareta ngebe ......ukiweka ugoko si tuna weka jiwe mpaka kieleweke........zingatia watu 1200 + watanzania 2........ulitaka nyau nyau akae kimya wakati yeye ndio kiongozi wa inchi.......thuuuuuuubuuuuuutrrrruuuuuuuuu
 
We unasema 1200 unafahamu chanzo cha mzozo?
Israel inarudi kwenye ardhi so yake kwa kigezo cha kipumbavu sana kwamba nchi ya ahadi, badala wakae kwa kutulia wanaanza kuteka maeneo kwa nguvu.

1948 wapalestina zaidi ya 700,000 wanaukuzwa kwenye makazi yao.

Wapalestina 13,000 wanauaawa kwenye vita ya arab-Israel war mwaka 1948.

1982 watu zaidi ya 2400 palestinians wanauawa.

Kuna vita iliitwa intifada walikufa Palestinians zaidi ya 1960.

Vita ya pili ya intifada wakafa Palestinians zaidi ya 3300.

2006 walikufa Palestinians zaidi ya 400.
2008 wakauawa zaidi ya 1400.

Mwaka 2014 wameuawa zaidi ya 2300.

2021 wameuawa zaidi ya 250.

Hivi sasa wamekufa Palestinians zaidi ya 34K.

Israel imekuwa ikifanya mauaji na unyama wa ajabu nyuma ya macho ya vyombo vya habari, miaka hio 1940's, 1960's hadi mwishoni mwa 1990's wakati mitandao ya kijamii haipo, unyama, ubakaji ambao IDF walikuwa wanaufanya kule unatisha.

Hivi sasa atleasr dunia inaona.

Mi siwalaumu Hamas kwa kile wanachofanya, wamevumilia imetosha, walipokwenda kushambulia hao raia 1200 na kuwaua hata Israel imeua mara 20 zaidi toka 1948, imewafukuza kutoka kwenye ardhi yao kwa nguvu. Yani we unashangaa Hamas kwenda kuvamia watu na kuua, IDF ndio kaanzisha huo ugaidi, mchokozi ni Israel, sioni kosa la Hamas.

Nyie Africa hapo SA tu mnauana xenophobia, Rwanda watu wanacharazana mapanga kama nyama. Nafsi ya mtu ambae ni mpole na mtaratibu ikichefukwa tegemea lolote, hapo usilaumu mtu, binadamu tuna kawaida hio.

Kwa ukatili wanaofanyiwa Palestina kuanzia babu zao, mi siwashangai wanachokifanya, kwani US imeua raia wangapi wasio na hatia kwenye gulf states kisa mafuta?
Jaribu kuficha ujinga wako... Hujui lolote, SA kuitetea Palestina ni udini, SA ina udini? Kuingiza udini mwenye mada kama hii ni dalili ya ushoga.
 
Hamas ni kundi lao haohao Israel..waliliunda Ili kuwafarakanisha wao Kwa wao West Bank na Gaza....hakuna Hamas bila Israel....
 
Ndo tatizo lenu nyie ambao mmekaririshwa kama kasuku kuwa taifa la Israel limeanza 1948 msijue kuwa taifa la palestine limeanza baada ya kupewa utaifa na dola la rumi, hawa warumi wakiwa na lengo la kufuta kabisaa taifa la israel kwa kuwa liliasi kwenye dola la rumi la wakati huo.
Kabla ya kuwepo taifa la palestine Israel ilishakuwepo miaka mingi sana kabla.
Taifa la palestine limeanzishwa na warumi.
Anyway Israel imesharudi mahali pake na uzuri ni kuwa taifa hili halitaondolewa tena na yeyote.
Hizi kelele za from the river to the sea, nchi kadhaa kuitambua palestina kama taifa, ardhi ya Israel kugawanywa na wapalestina kupewa ardhi hiyo eti wawe na taifa KAMWE si vitu vya kudumu.
 
kwani ujerumani si moja ya washirika wake kuna ubaya gani akiitembelea huko,anaogopa nn?
Kuwa mshirika wake si lazima aende kutembelea na kutembelea mshirika huyu au yule ni maamuzi yake halazimishwi.
Kama ambavyo huwezi sikia Haniya au Yahya ameenda S.A pamoja na kuwa S.A imepeleka mashtaka mengi tu ICJ kuishtaki Israel, lakini wala husikii viongozi hawa wakiiongolea sana SA au wakisema wataitembelea.
 
Saud Arabia
na Jordan wanasimama na israel
 
kwanini asikamatwe...aende urusi,ujerumani,ufaransa au south afrika aone kama yeye hakamatiki
Unadhani Netanyahu anahaja ya kwenda huko?.
Asipokwenda kwenye hizo nchi atapata hasaragani?.

Usiwaamini hao jamaa hizi nisiasatu na wajinga ndio wanachukulia serious.

Wazungu ni wanafiki na wanajua kucheza na akili za wahanga.
Hata iyo hukumu kutolewa huku African it's just an eye cell.

Open your mind!.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
We unasema 1200 unafahamu chanzo cha mzozo?
Israel inarudi kwenye ardhi so yake kwa kigezo cha kipumbavu sana kwamba nchi ya ahadi, badala wakae kwa kutulia wanaanza kuteka maeneo kwa nguvu.

1948 wapalestina zaidi ya 700,000 wanaukuzwa kwenye makazi yao.

Wapalestina 13,000 wanauaawa kwenye vita ya arab-Israel war mwaka 1948.

1982 watu zaidi ya 2400 palestinians wanauawa.

Kuna vita iliitwa intifada walikufa Palestinians zaidi ya 1960.

Vita ya pili ya intifada wakafa Palestinians zaidi ya 3300.

2006 walikufa Palestinians zaidi ya 400.
2008 wakauawa zaidi ya 1400.

Mwaka 2014 wameuawa zaidi ya 2300.

2021 wameuawa zaidi ya 250.

Hivi sasa wamekufa Palestinians zaidi ya 34K.

Israel imekuwa ikifanya mauaji na unyama wa ajabu nyuma ya macho ya vyombo vya habari, miaka hio 1940's, 1960's hadi mwishoni mwa 1990's wakati mitandao ya kijamii haipo, unyama, ubakaji ambao IDF walikuwa wanaufanya kule unatisha.

Hivi sasa atleasr dunia inaona.

Mi siwalaumu Hamas kwa kile wanachofanya, wamevumilia imetosha, walipokwenda kushambulia hao raia 1200 na kuwaua hata Israel imeua mara 20 zaidi toka 1948, imewafukuza kutoka kwenye ardhi yao kwa nguvu. Yani we unashangaa Hamas kwenda kuvamia watu na kuua, IDF ndio kaanzisha huo ugaidi, mchokozi ni Israel, sioni kosa la Hamas.

Nyie Africa hapo SA tu mnauana xenophobia, Rwanda watu wanacharazana mapanga kama nyama. Nafsi ya mtu ambae ni mpole na mtaratibu ikichefukwa tegemea lolote, hapo usilaumu mtu, binadamu tuna kawaida hio.

Kwa ukatili wanaofanyiwa Palestina kuanzia babu zao, mi siwashangai wanachokifanya, kwani US imeua raia wangapi wasio na hatia kwenye gulf states kisa mafuta?
Jaribu kuficha ujinga wako... Hujui lolote, SA kuitetea Palestina ni udini, SA ina udini? Kuingiza udini mwenye mada kama hii ni dalili ya ushoga.
Wewe ukiwa shoga namba moja........inakuwaje kuua watanzania wenzetu bila hatia kisa wanagombea ardhi ambayo hata vitabu vitakatifu vinasema ni ya Israel...........wale wafilisti watafute pa kutokea ..........tatizo hilo ni lao mimi niko na watanzania wenzangu ambao wazazi wao waliwekeza kwao waje kura matunda ya watoto wao .......wamewafanyia unyama wakati huku balozi wao alipata airtime kwenye misikiti bila ghasia au fujo yeyote ...........unaongea nini wewe kunenge
 
Taarifa zilizopo mitandaoni na vyanzo vingine vya Habari ujerumani na ufaransa zimeungana pamoja kuhusu Sakata la netanyau kukamatwa
..

Na kuitosa marekani
Kilichomponza Neta ni kukaidi maelekezo ya Washington kwenye kuipiga Gaza na Rafah.

US itasupport Israel kivyovyote lakin Kimkakati wanamuondoa Neta nankumnyoosha kwa utovu wake kwa wakubwa. Next time wenginenwatajifunza kusikiliza US na Nato.

Mkakati wa ICC ipo wazi kuwa US ipp nyuma yake na ni sababu ya jeuri ya Neta mwenyewe. US via CIA ni mind games za kutosha.
 
Back
Top Bottom