Ujerumani walikuwa na haki ya kufungwa: Walienda wakiwa na lengo la kupigia kampeni LGBTQ

Ujerumani walikuwa na haki ya kufungwa: Walienda wakiwa na lengo la kupigia kampeni LGBTQ

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Ujerumani walikuwa wamevurugwa baada ya tamanio lao la kupigia kampeni LGBTQ kugonga mwamba, maana Qatar ilisimama kidete kusema haiwezi kuruhusu kwenye ardhi yake mambo machafu kupigiwa kampeni waziwazi!!

Timu ya Ujerumani wakaingia uwanjani huku wakilalamika kuwa WAMEZIBWA MIDOMO, na wakatoa ujumbe wa kuzibwa midomo ili wasiisemee LGBTQ kwa kupiga picha huku wameziba midomo yao.

Hii inaonesha wazi kuwa akili yao haikuwa kwenye soka wakati wanaingia uwanjani kukipiga na Japan bali ilikuwa kwa mashoga (LGBTQ). Katika mazingira hayo kwa nini wasifungwe?

Tena ilibidi wafungwe nyingi zaidi halafu WAKASHOGANE vizuri!! Waone hawa hapa!!

1669352374246.png
 
Naipongeza sana FIFA kwa kukubaliana na Qatar. Mwanzoni walisema mchezaji atakayefanya chochote cha kuashiria kupigia kampeni na kuitangaza LGBTQ atapigwa faini.

Timu za mataifa ya ulaya wakasema potelea mbali, tutalipa faini. FIFA wakaja na gia kubwa kuwa mchezaji akifanya tendo lolote linaloashiria kupigia debe LGBTQ atapewa kadi ya njano!!

Hapo wote wakanywea!! Safi sana. Maana hawa jamaa wanataka kuuteka mpira uwe sehemu ya kutangaza uchafu wao maana wanajua unatazamwa na wengi!!

Saa hii wanajipa moyo kuwa watalipiza kutangaza uchafu wao kwenye kombe la dunia la 2026 nchini Marekani. Lakini kama Trump atakuwa amerudi madarakani watagonga mwamba pia!!
 
Hii inaonesha wazi kuwa akili yao haikuwa kwenye soka wakati wanaingia uwanjani kukipiga na Japan bali ilikuwa kwa mashoga (LGBTQ).
Ni kweli kabisa, ukiingia uwanjani huku akili inawaza kingine zaidi ya mechi uwezekano mkubwa ni kufungwa!! Kwa mfano Iran iliingia uwanjani wakiwa na mawazo ya kuipinga serikali yao wakiwaunga mkono waandamanaji. Wakagoma kuimba wimbo wa Taifa wa nchi yao, matokeo yake wakanyeshewa mvua ya magoli zaidin ya mkono!!
 
Ko walikuwa wanaiwaza 0713? Je,walikuwa wanaiwaza kuingizwa au kuingiziwa?
Kawaulize walikua wanawaza nini tena wameshindiliwa kipindi pili goli 2 kwa mpigo, labda walipoenda mapumziko walienda kufanya yao huko vyumban
 
Kawaulize walikua wanawaza nini tena wameshindiliwa kipindi pili goli 2 kwa mpigo, labda walipoenda mapumziko walienda kufanya yao huko vyumban
Kumbe ndo maana walikuwa wamecontrate kuwaangalia makalio wachezaji wa Japan hasa yule Takuma
 
Sasa mtu anacheza huku kavaa diaper unategemea nini
Umenichekesha sana!! Wazungu walikuwa wanayaonea aibu machafu yao na walikuwa hawayatetei hadharani, lakini siku hizi aibu wameitupa kapuni wanatetea uhayawani wazi wazi mchana kweupe! Wazungu ni washenzi (kwa maana ya kutokustarabika) hakuna mfano!!
 
Uzuri Qatar ni nchi ndogo yenye watu wachache hal;afu ni tajiri sana! Haitegemei misaada, kwa hiyo haiwaogopi wazungu kuwa watainyima misaada!
 
Kombe la dunia mwaka huu kama lingekuwa linapigiwa Marekani, tungeshuhudia vituko vya LGBTQ hadi kero!!
 
Mwone huyu Mjerumani anamwachia mjapan (namba 18) afungue huku macho yake yanamtazama mjapan kwa nyuma badala ya macho yake kutazama mpira!!

View attachment 2426951
Huyu mjerumani unamwona kabisa usoni kuwa akili haiko kwenye mpira!! Hiyo body language yake inatisha!! Huo mbinuko siyo wa kisoka na miguu yote iko sambambamba!! Kwa kawaida kwenye mpira muda wote mguu mmoja unakuwa mbele mwingine nyuma kuonesha iko kwenye motion!! Lakini huyu miguu kaikusanya pamoja kama amesimama vile!!
 
Back
Top Bottom