Ujerumani walikuwa na haki ya kufungwa: Walienda wakiwa na lengo la kupigia kampeni LGBTQ

Ujerumani walikuwa na haki ya kufungwa: Walienda wakiwa na lengo la kupigia kampeni LGBTQ

Kinachosikitisha ni kuwa Qatar anakosa support kutoka kwa mataifa mengine, wamagharibi wanaendelea kupigania upuuzi wao mpaka dakika za mwisho
 
Hili kombe la mwaka huu habari inayotrend ni ushoga tu
Hata humu jukwaani kuna watu muda wote wanawaza ushoga tu! Tena kama baadhi ya mashabiki wa timu fulani hivi, utawaonea mpaka huruma! Ukiwatania kidogo tu, wanakimbilia kwenye ushoga.

Kiukweli hali ni mbaya.
 
Ujerumani walikuwa wamevurugwa baada ya tamanio lao la kupigia kampeni LGBTQ kugonga mwamba, maana Qatar ilisimama kidete kusema haiwezi kuruhusu kwenye ardhi yake mambo machafu kupigiwa kampeni waziwazi!!

Timu ya Ujerumani wakaingia uwanjani huku wakilalamika kuwa WAMEZIBWA MIDOMO, na wakatoa ujumbe wa kuzibwa midomo ili wasiisemee LGBTQ kwa kupiga picha huku wameziba midomo yao.

Hii inaonesha wazi kuwa akili yao haikuwa kwenye soka wakati wanaingia uwanjani kukipiga na Japan bali ilikuwa kwa mashoga (LGBTQ). Katika mazingira hayo kwa nini wasifungwe?

Tena ilibidi wafungwe nyingi zaidi halafu WAKASHOGANE vizuri!! Waone hawa hapa!!

View attachment 2426868
Hahaha! Hili kombe la safari hii limejaa vituko. Wengine waligoma kuimba National anthem.
 
Duh hao wote walioziba mdomo wanatamani kuingizwa mti wa Nyama tigonk?Astaghafulah
 
Ujerumani walikuwa wamevurugwa baada ya tamanio lao la kupigia kampeni LGBTQ kugonga mwamba, maana Qatar ilisimama kidete kusema haiwezi kuruhusu kwenye ardhi yake mambo machafu kupigiwa kampeni waziwazi!!

Timu ya Ujerumani wakaingia uwanjani huku wakilalamika kuwa WAMEZIBWA MIDOMO, na wakatoa ujumbe wa kuzibwa midomo ili wasiisemee LGBTQ kwa kupiga picha huku wameziba midomo yao.

Hii inaonesha wazi kuwa akili yao haikuwa kwenye soka wakati wanaingia uwanjani kukipiga na Japan bali ilikuwa kwa mashoga (LGBTQ). Katika mazingira hayo kwa nini wasifungwe?

Tena ilibidi wafungwe nyingi zaidi halafu WAKASHOGANE vizuri!! Waone hawa hapa!!

View attachment 2426868
Ila ushoga sijui umeloga wazungu na uchawi wa wapi, ukitaka kugombana na mzungu we pingana na ushoga yaan unaweza kujua kama vile ni kitu cha maana
 
Awali ndege yao ilizuiwa kutua Qatar ikiwa upuuzi huo.
IMG-20221120-WA0005.jpg
 
Naipongeza sana FIFA kwa kukubaliana na Qatar. Mwanzoni walisema mchezaji atakayefanya chochote cha kuashiria kupigia kampeni na kuitangaza LGBTQ atapigwa faini.

Timu za mataifa ya ulaya wakasema potelea mbali, tutalipa faini. FIFA wakaja na gia kubwa kuwa mchezaji akifanya tendo lolote linaloashiria kupigia debe LGBTQ atapewa kadi ya njano!!

Hapo wote wakanywea!! Safi sana. Maana hawa jamaa wanataka kuuteka mpira uwe sehemu ya kutangaza uchafu wao maana wanajua unatazamwa na wengi!!

Saa hii wanajipa moyo kuwa watalipiza kutangaza uchafu wao kwenye kombe la dunia la 2026 nchini Marekani. Lakini kama Trump atakuwa amerudi madarakani watagonga mwamba pia!!
Natamani nchi zinazojielewa zisusie mashindano ya 2026 endapo Kama mashindano hayo yatafanyika US, au European
 
Back
Top Bottom