mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Ni kweli kabisa, ukiingia uwanjani huku akili inawaza kingine zaidi ya mechi uwezekano mkubwa ni kufungwa!! Kwa mfano Iran iliingia uwanjani wakiwa na mawazo ya kuipinga serikali yao wakiwaunga mkono waandamanaji. Wakagoma kuimba wimbo wa Taifa wa nchi yao, matokeo yake wakanyeshewa mvua ya magoli zaidin ya mkono!!Hii inaonesha wazi kuwa akili yao haikuwa kwenye soka wakati wanaingia uwanjani kukipiga na Japan bali ilikuwa kwa mashoga (LGBTQ).
Trump anarudi mjengoni, wajiandaeSaa hii wanajipa moyo kuwa watalipiza kutangaza uchafu wao kwenye kombe la dunia la 2026 nchini Marekani. Lakini kama Trump atakuwa amerudi madarakani watagonga mwamba pia!!
Upinde wa mvuaasiee, af team yangu hii qmmmmq
Ko walikuwa wanaiwaza 0713? Je,walikuwa wanaiwaza kuingizwa au kuingiziwa?Hii inaonesha wazi kuwa akili yao haikuwa kwenye soka wakati wanaingia uwanjani kukipiga na Japan bali ilikuwa kwa mashoga (LGBTQ).
Kawaulize walikua wanawaza nini tena wameshindiliwa kipindi pili goli 2 kwa mpigo, labda walipoenda mapumziko walienda kufanya yao huko vyumbanKo walikuwa wanaiwaza 0713? Je,walikuwa wanaiwaza kuingizwa au kuingiziwa?
Kumbe ndo maana walikuwa wamecontrate kuwaangalia makalio wachezaji wa Japan hasa yule TakumaKawaulize walikua wanawaza nini tena wameshindiliwa kipindi pili goli 2 kwa mpigo, labda walipoenda mapumziko walienda kufanya yao huko vyumban
Umenichekesha sana!! Wazungu walikuwa wanayaonea aibu machafu yao na walikuwa hawayatetei hadharani, lakini siku hizi aibu wameitupa kapuni wanatetea uhayawani wazi wazi mchana kweupe! Wazungu ni washenzi (kwa maana ya kutokustarabika) hakuna mfano!!Sasa mtu anacheza huku kavaa diaper unategemea nini
Mwone huyu Mjerumani anamwachia mjapan (namba 18) afungue huku macho yake yanamtazama mjapan kwa nyuma badala ya macho yake kutazama mpira!!Kumbe ndo maana walikuwa wamecontrate kuwaangalia makalio wachezaji wa Japan hasa yule Takuma
Huyu mjerumani unamwona kabisa usoni kuwa akili haiko kwenye mpira!! Hiyo body language yake inatisha!! Huo mbinuko siyo wa kisoka na miguu yote iko sambambamba!! Kwa kawaida kwenye mpira muda wote mguu mmoja unakuwa mbele mwingine nyuma kuonesha iko kwenye motion!! Lakini huyu miguu kaikusanya pamoja kama amesimama vile!!Mwone huyu Mjerumani anamwachia mjapan (namba 18) afungue huku macho yake yanamtazama mjapan kwa nyuma badala ya macho yake kutazama mpira!!
View attachment 2426951