Ujerumani wanazama kwenye kina kirefu kwa kumfurahisha USA

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827

German economy forecast to shrink​

The energy crisis and the conflict in Ukraine are expected to take a toll on the country’s GDP

The German economy is expected to lose more than €260 billion ($265 billion) in added value by 2030 due to the conflict in Ukraine and high energy prices, Reuters reported on Tuesday, citing a study by the Institute for Employment Research (IAB).

According to the study, Germany's gross domestic product (GDP) is set to be 1.7% lower in 2023, while the country will have about 240,000 fewer jobs. The employment level is forecast to stay at this level until 2026, when the after-effects of the current crises are expected to end.

The country’s hospitality industry, already weakened by the Covid-19 pandemic, is expected to be hit the hardest as consumers’ purchasing power dwindles. Other sectors which are likely to be affected are the chemical industry and metal production, as they are highly reliant on energy supplies.

The study notes that energy prices are already up by 160% against those recorded prior to Russia’s military operation in Ukraine and the subsequent sanctions war between the EU and Russia.

If these prices are to grow further, which they will if Berlin stops purchasing Russian energy, Germany’s 2023 economic output is expected to be nearly 4% lower than it would have been without the current pressures, according to the study
 
... ni heri kuzama kwenye kina kirefu kwa ajili ya kusimama pamoja na haki (Ukraine kuvamiwa) badala ya kula na kunywa mezani pa mfalme mpumbavu na dhalimu amwagaye damu za wasio na hatia. Germany na mataifa mengine wamechagua fungu lililo jema!

Enzi za makaburu Tanzania ilisimama pamoja na wanyonge wanaoonewa, tena kwa uwazi kabisa, kuliko kushirikiana na serikali dhalimu ya makaburu enzi zile. Tanzania enzi zile ilisimama tena kwa uwazi kabisa pamoja na wanaoonewa Sahara Magharibi na chama chao cha POLISARIO; sina hakika kwenye sakata la Ukraine Tanzania ya leo iko upande upi! Tuko pamoja na madhalimu? Au tuko pamoja na wanaoonewa?
 
Wakati Tanzania anasimama pamoja na walioinewa na madhalimu upi ulikuwa msimamo wa nchi za magharibi na marekani
 
Kila mtu ana uhuru wa kusimamia anachoamin nchi za ulaya zingekaa kimya kuhusu putun kuvamia Ukraine asingeishia hapo angetafuta nchi nyingine akaivamia na angeendelea Zaid

Lengo la putin ni kujaza vibaraka wake ulaya nzima
 
Kuna ubaya upi
Acha afanye atakavyo
Bring Back Our USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... ni heri kuzama kwenye kina kirefu kwa ajili ya kusimama pamoja na haki (Ukraine kuvamiwa) badala ya kula na kunywa mezani pa mfalme mpumbavu na dhalimu amwagaye damu za wasio na hatia. Germany na mataifa mengine wamechagua fungu lililo jema!

Enzi za makaburu Tanzania ilisimama pamoja na wanyonge wanaoonewa, tena kwa uwazi kabisa, kuliko kushirikiana na serikali dhalimu ya makaburu enzi zile. Tanzania enzi zile ilisimama tena kwa uwazi kabisa pamoja na wanaoonewa Sahara Magharibi na chama chao cha POLISARIO; sina hakika kwenye sakata la Ukraine Tanzania ya leo iko upande upi! Tuko pamoja na madhalimu? Au tuko pamoja na wanaoonewa?

NATO wamemwaga damu za watu wangapi? Wamevamia mataifa mangapi?? Ulishawai kupaza sauti wakati ndugu zetu Libya wanavamiwa??
 
Kila mtu ana uhuru wa kusimamia anachoamin nchi za ulaya zingekaa kimya kuhusu putun kuvamia Ukraine asingeishia hapo angetafuta nchi nyingine akaivamia na angeendelea Zaid

Lengo la putin ni kujaza vibaraka wake ulaya nzima

Kama US anavyofanya sindio? Bhs tulien sindano iingie
 
Wakati Tanzania anasimama pamoja na walioinewa na madhalimu upi ulikuwa msimamo wa nchi za magharibi na marekani
Wkt TZ ilikua ikiwapa backup S/Africa kujikomboa mikononi mwa makaburu mpk Mandela kupewa passport ya Tz,Marekani na washirika wake enzi hizo walikua wanamuita Mandela Ni TERRORIST.

Hio ndio Marekani baba wa Udhalimu duniani.
 
NATO wamemwaga damu za watu wangapi? Wamevamia mataifa mangapi?? Ulishawai kupaza sauti wakati ndugu zetu Libya wanavamiwa??
... angalau swali lako lingekuwa valid kama aliyevamiwa na Russia angekuwa NATO; Ukraine ana kosa gani hadi uihukumu kwa makosa ya NATO?
 
... ni heri kuzama kwenye kina kirefu kwa ajili ya kusimama pamoja na haki (Ukraine kuvamiwa) badala ya kula na kunywa mezani pa mfalme mpumbavu na dhalimu amwagaye damu za wasio na hatia. Germany na mataifa mengine wamechagua fungu lililo jema!

Enzi za makaburu Tanzania ilisimama pamoja na wanyonge wanaoonewa, tena kwa uwazi kabisa, kuliko kushirikiana na serikali dhalimu ya makaburu enzi zile. Tanzania enzi zile ilisimama tena kwa uwazi kabisa pamoja na wanaoonewa Sahara Magharibi na chama chao cha POLISARIO; sina hakika kwenye sakata la Ukraine Tanzania ya leo iko upande upi! Tuko pamoja na madhalimu? Au tuko pamoja na wanaoonewa?
Una chuki zako binafsi na Russia. Kama suala la kuvamia nchi huru basi marekani ndio kinala na haya mambo ya sanctions hatukuyaona. Hapa kuna hii kitu kunya anye kuku tu akinya bata..........
 
Usipotezee mda nae an upeo mdogo sana yaan dhambi haiwez halalisha dhambi
... nawashangaa sana pro-Russia; wanajaribu ku-justify uvamizi wa Russia kwa Ukraine kwa vijisababu vya eti NATO imevamia mataifa mangapi! By the way, maskini Ukraine hajawahi kuvamia nchi yoyote wala kuwa mwanachama wa NATO. Ajabu sana.
 
Una chuki zako binafsi na Russia. Kama suala la kuvamia nchi huru basi marekani ndio kinala na haya mambo ya sanctions hatukuyaona. Hapa kuna hii kitu kunya anye kuku tu akinya bata..........
... ahaa! Kumbe una mahaba na Russia kuvamia Ukraine kwa sababu Marekani imevamia nchi nyingine? If that is the case, huyo Russia kwa case ya uvamizi Ukraine ana tofauti gani na huyo Marekani unayejaribu kumlaani kinafiki kwa uvamizi wa nchi nyingine?
 
Ninachokataa mimi ni kuwa msukule wa marekani. Kama sasahivi anataka watu wote tuichukie Russia wakati huyo Russia ni afaadhali kuliko yeye. Na mfano mwengine anataka nchi zote tusinunue mafuta ya Russia wakati yeye anaiba mafuta ya Libya, Sirya, Iraqi nk. nk. Yahani ametufanya watu wote ni misukule yake
 
... ni heri kuzama kwenye kina kirefu kwa ajili ya kusimama pamoja na haki (Ukraine kuvamiwa) badala ya kula na kunywa mezani pa mfalme mpumbavu na dhalimu amwagaye damu za wasio na hatia. Germany na mataifa mengine wamechagua fungu lililo jema!

Enzi za makaburu Tanzania ilisimama pamoja na wanyonge wanaoonewa, tena kwa uwazi kabisa, kuliko kushirikiana na serikali dhalimu ya makaburu enzi zile. Tanzania enzi zile ilisimama tena kwa uwazi kabisa pamoja na wanaoonewa Sahara Magharibi na chama chao cha POLISARIO; sina hakika kwenye sakata la Ukraine Tanzania ya leo iko upande upi! Tuko pamoja na madhalimu? Au tuko pamoja na wanaoonewa?
Sawa endelea kusimama kwenye uone kama kuna kitu utapata
 
Back
Top Bottom