Herzog
JF-Expert Member
- Jul 26, 2022
- 4,129
- 4,859
Then hiyo USSR yenu itakunufaisheni nini mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Then hiyo USSR yenu itakunufaisheni nini mkuu?
Yaani maoni mengine yanashangaza sana mkuu,hapa wana msema sema sana Putin as if ni jambazi wa kimataifa, hakuna anaye address concerns kuhusu usalama wa Taifa la Urusi ,hakuna!!Kama US anavyofanya sindio? Bhs tulien sindano iingie
Yaan ujeruman wenyeyw hawajui kama wanazama. Wewe mmatumbi ndo unajua wanezama. Kweli hii Dunia haishi vitukoThe energy crisis and the conflict in Ukraine are expected to take a toll on the country’s GDP
German economy forecast to shrink
The German economy is expected to lose more than €260 billion ($265 billion) in added value by 2030 due to the conflict in Ukraine and high energy prices, Reuters reported on Tuesday, citing a study by the Institute for Employment Research (IAB).
According to the study, Germany's gross domestic product (GDP) is set to be 1.7% lower in 2023, while the country will have about 240,000 fewer jobs. The employment level is forecast to stay at this level until 2026, when the after-effects of the current crises are expected to end.
The country’s hospitality industry, already weakened by the Covid-19 pandemic, is expected to be hit the hardest as consumers’ purchasing power dwindles. Other sectors which are likely to be affected are the chemical industry and metal production, as they are highly reliant on energy supplies.
The study notes that energy prices are already up by 160% against those recorded prior to Russia’s military operation in Ukraine and the subsequent sanctions war between the EU and Russia.
If these prices are to grow further, which they will if Berlin stops purchasing Russian energy, Germany’s 2023 economic output is expected to be nearly 4% lower than it would have been without the current pressures, according to the study
tatizo mnalaaani wizi wa milioni moja na kuuwa wezi lakini mnabariki majambaz ya more than a billion.... ni heri kuzama kwenye kina kirefu kwa ajili ya kusimama pamoja na haki (Ukraine kuvamiwa) badala ya kula na kunywa mezani pa mfalme mpumbavu na dhalimu amwagaye damu za wasio na hatia. Germany na mataifa mengine wamechagua fungu lililo jema!
Enzi za makaburu Tanzania ilisimama pamoja na wanyonge wanaoonewa, tena kwa uwazi kabisa, kuliko kushirikiana na serikali dhalimu ya makaburu enzi zile. Tanzania enzi zile ilisimama tena kwa uwazi kabisa pamoja na wanaoonewa Sahara Magharibi na chama chao cha POLISARIO; sina hakika kwenye sakata la Ukraine Tanzania ya leo iko upande upi! Tuko pamoja na madhalimu? Au tuko pamoja na wanaoonewa?
But stupid one.A very good question - BRAVO.
Well said, be blessed.moja kati ya vita ambayo haikuwahi kumalizika ni ile vita baridi kati ya westerns na russia.inawezekana materially ilimalizika ila spiritually bado inaendelea kupiganwa mpaka leo.
BAD news uwanja wa vita kwa sasa ni africa na asia.
Nawaambia na narudia kuwaambia tena nia ya mzungu juu yetu africa haijawahi kuwa nzuri hata siku moja na itaendelea hivyo milele.
Nawaambia na narudia tena kuwaambia mzungu huwa hatoi kitu bure na hajawahi kutoa msaada africa hata siku moja badala yake huwa anafanya uwekezaji tu.anakupa dola moja anakuja kuchukua dola 100 kwa mlango wa nyuma.
we need our brains and not emotions
Kongole bwana mkubwa. ShikamooYaani maoni mengine yanashangaza sana mkuu,hapa wana msema sema sana Putin as if ni jambazi wa kimataifa, hakuna anaye address concerns kuhusu usalama wa Taifa la Urusi ,hakuna!!
Hawana habari kwamba chanzo cha vurugu/matatizo yanayo endelea huko Ukraine - muhusika mkuu ni US, yeye ndiye alihusika moja kwa moja ku-fund mapinduzi ya 2014 yaliyo ondoa Serikali halali na kusimika kibaraka wa US Administration - nia hasa ya USA kuvalia njuga suala la Ukraine iwepo kwenye orbit yake ni kutaka kulitumia Ukraine kuihujumu Rusia kiuchumi na kijeshi wao ndio wahusika wakuu kwa kuchochea watawala wa Ukraine ili wa-provoke Urusi waanzishe vita ili USA ipate kisingizio cha kuingiza silaha kwa wingi na kwa uwazi na kuingiza wanajeshi na majasusi wa USA na Uingereza kwa kificho washirikiane na jeshi la Zelensky kuhujumu Urusi kiuchumi kwa kupitia mbinu za ku-slap punitive sanctions dhidi ya Urusi na kibaya zaidi waidhoofishe Urusi kijeshi kwa kupitia kwenye vita ambavyo wamepanga vitachukua muda mrefu ili kunufaisha viwanda vya silaha huko Merikani na Uingereza, kufanya majaribio ya silaha zao mpya na mwisho wa siku watimize malengo yao ya miaka nenda rudi yenye lengo la ku-destroy Russia in totality ili kuhakikisha she will never rise again kuwa tishio la maslahi ya mataifa ya magharibi specifically USA, wako radhi Dunia iangamizwe kwa silaha za Nuclear mradi waiteketeze kabisa Urusi - wako dead serious kabisa, ntawapatia mfano mdogo to prove my point: ebu chunguzeni kwa umakini body language ya Biden anapo zungumzia Urusi in particular Putin anaonekana ana-narrow macho yake,mishipa ya damu ya shingoni na utosini inatuna/vimba kabisa, inasemekana huwa ana chuki binafsi na Putin tangu akiwa makamu wa Rais Obama, kwa sisi tulio soma saikolojia body language ya Biden anapo address masula ya Ukraine ina ashilia kwamba anakuwa driven na hasira kali pamoja na kutaka kulipiza kisasi may be kwa Putin au Urusi in general - sasa hizo si dalili nzuri kwa binadamu anaye shikiria briefcase yenye code za ku-unleash thermonuclear ICBM!!
Binafsi namuogopa sana Biden kwa usalama wa Dunia nzima kuliko mtu mwingine, Trump alikuwa anafanya mambo ya utani utani lakini sio jamaa huyu bwana,watu hawajui tu lakini ukweli ni kwamba jamaa huyu ni hatari kuliko maelezo - 'am not a scare monger lakini tukiwa hai baada ya vita ya Ukraine mtakuja kuniambia.
Chawa namba moja wa marekani huyu hapaYaan ujeruman wenyeyw hawajui kama wanazama. Wewe mmatumbi ndo unajua wanezama. Kweli hii Dunia haishi vituko
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Nimeuliza unabariki Ukraine isiyo na hatia kuvamiwa simply Libya ilivamiwa? Ok; endelea kushabikia Russia kuvamia mnyonge Ukraine mahaba yako yatimie.tatizo mnalaaani wizi wa milioni moja na kuuwa wezi lakini mnabariki majambaz ya more than a billion.
punguza ushabiki mandaz unaodhihirisha rationalization ability yako ni ndogo.
factually unaweza kuniambia kati ya america aliyepita libya,afghanistani,irak nk na akaacha maelfu ya watu wakiwa homeless na mass destruction NA russia nani anayestahili kulaaniwa?
USA ndo alishawishi kwa kiasi kikubwa nchi nyingi za Europe zilizokuwa na makoloni kuyapa Uhuru makoloni yake. Usifikiri uhuru Africa wazungu waliamua kutupa tu, tena nchi kma TZ bila hata vurugu nyingi tukapewa nchi yetu. Bila USA nakuhakikishia mpk leo nchi nyingi Africa kama sio zote zingekuwa bado chini ya makoloni ya Uingereza, Ufaransa etc.Wkt TZ ilikua ikiwapa backup S/Africa kujikomboa mikononi mwa makaburu mpk Mandela kupewa passport ya Tz,Marekani na washirika wake enzi hizo walikua wanamuita Mandela Ni TERRORIST.
Hio ndio Marekani baba wa Udhalimu duniani.
Unaposema "mzungu" natumai unamaanisha wote USA, Europe, Russia na China. Maana hakuna mwenye afadhali au mwenye uchungu au huruma na hii Africa. Kila mtu ana haki ya kuangalia maslahi ya kwake. Hata ikija TZ na Waafrica wengine tunaangalia Tanzania kwanza. Ndo maisha yalivyo mkuu.moja kati ya vita ambayo haikuwahi kumalizika ni ile vita baridi kati ya westerns na russia.inawezekana materially ilimalizika ila spiritually bado inaendelea kupiganwa mpaka leo.
BAD news uwanja wa vita kwa sasa ni africa na asia.
Nawaambia na narudia kuwaambia tena nia ya mzungu juu yetu africa haijawahi kuwa nzuri hata siku moja na itaendelea hivyo milele.
Nawaambia na narudia tena kuwaambia mzungu huwa hatoi kitu bure na hajawahi kutoa msaada africa hata siku moja badala yake huwa anafanya uwekezaji tu.anakupa dola moja anakuja kuchukua dola 100 kwa mlango wa nyuma.
we need our brains and not emotions
Walikuwa ndio Madhalimu wenyewe!Wakati Tanzania anasimama pamoja na walioinewa na madhalimu upi ulikuwa msimamo wa nchi za magharibi na marekani
wewe ndo hujaelewaHujaelewa ndugu
ww upeo wako mfupi yaan mtu kaiba basi waliowai kuwa wez wakajirekebisha hawapasw kukemea ? hiki kizaz cha ovyo sana aseeWakati Tanzania anasimama pamoja na walioinewa na madhalimu upi ulikuwa msimamo wa nchi za magharibi na marekani
dah ww ni kichwa kigumu sana kuelewa yaan jamaa amekutafunia kabisa ila huelew umekaza fuvu , unachofanya ss hv hakina tofaut na unawaoshutumu hao kwahiyo ww na wao ni makaburu tuJiulize wewe kichwa chako Cha kuotesha nywele
Una umri gani mkuu... ni heri kuzama kwenye kina kirefu kwa ajili ya kusimama pamoja na haki (Ukraine kuvamiwa) badala ya kula na kunywa mezani pa mfalme mpumbavu na dhalimu amwagaye damu za wasio na hatia. Germany na mataifa mengine wamechagua fungu lililo jema!
Enzi za makaburu Tanzania ilisimama pamoja na wanyonge wanaoonewa, tena kwa uwazi kabisa, kuliko kushirikiana na serikali dhalimu ya makaburu enzi zile. Tanzania enzi zile ilisimama tena kwa uwazi kabisa pamoja na wanaoonewa Sahara Magharibi na chama chao cha POLISARIO; sina hakika kwenye sakata la Ukraine Tanzania ya leo iko upande upi! Tuko pamoja na madhalimu? Au tuko pamoja na wanaoonewa?
Bado una tongotongo makalioniww upeo wako mfupi yaan mtu kaiba basi waliowai kuwa wez wakajirekebisha hawapasw kukemea ? hiki kizaz cha ovyo sana asee