Ujerumani wanazama kwenye kina kirefu kwa kumfurahisha USA

Ujerumani wanazama kwenye kina kirefu kwa kumfurahisha USA

NATO wamemwaga damu za watu wangapi? Wamevamia mataifa mangapi?? Ulishawai kupaza sauti wakati ndugu zetu Libya wanavamiwa??
kwann msingemea kipind hicho au mlikuwa vichaa enz hizo ? vitu vingine kushabikia ni kuonesha ukichaa wako tu , yaan waache UKRAINE iingiliwe kiutawala kisa IRAQ NA LIBYIA ?
 
dah ww ni kichwa kigumu sana kuelewa yaan jamaa amekutafunia kabisa ila huelew umekaza fuvu , unachofanya ss hv hakina tofaut na unawaoshutumu hao kwahiyo ww na wao ni makaburu tu
Wewe kilaza historia ya dunia huijui halafu unajifanya mjuaji
 
Yaani maoni mengine yanashangaza sana mkuu,hapa wana msema sema sana Putin as if ni jambazi wa kimataifa, hakuna anaye address concerns kuhusu usalama wa Taifa la Urusi ,hakuna!!

Hawana habari kwamba chanzo cha vurugu/matatizo yanayo endelea huko Ukraine - muhusika mkuu ni US, yeye ndiye alihusika moja kwa moja ku-fund mapinduzi ya 2014 yaliyo ondoa Serikali halali na kusimika kibaraka wa US Administration - nia hasa ya USA kuvalia njuga suala la Ukraine iwepo kwenye orbit yake ni kutaka kulitumia Ukraine kuihujumu Rusia kiuchumi na kijeshi wao ndio wahusika wakuu kwa kuchochea watawala wa Ukraine ili wa-provoke Urusi waanzishe vita ili USA ipate kisingizio cha kuingiza silaha kwa wingi na kwa uwazi na kuingiza wanajeshi na majasusi wa USA na Uingereza kwa kificho washirikiane na jeshi la Zelensky kuhujumu Urusi kiuchumi kwa kupitia mbinu za ku-slap punitive sanctions dhidi ya Urusi na kibaya zaidi waidhoofishe Urusi kijeshi kwa kupitia kwenye vita ambavyo wamepanga vitachukua muda mrefu ili kunufaisha viwanda vya silaha huko Merikani na Uingereza, kufanya majaribio ya silaha zao mpya na mwisho wa siku watimize malengo yao ya miaka nenda rudi yenye lengo la ku-destroy Russia in totality ili kuhakikisha she will never rise again kuwa tishio la maslahi ya mataifa ya magharibi specifically USA, wako radhi Dunia iangamizwe kwa silaha za Nuclear mradi waiteketeze kabisa Urusi - wako dead serious kabisa, ntawapatia mfano mdogo to prove my point: ebu chunguzeni kwa umakini body language ya Biden anapo zungumzia Urusi in particular Putin anaonekana ana-narrow macho yake,mishipa ya damu ya shingoni na utosini inatuna/vimba kabisa, inasemekana huwa ana chuki binafsi na Putin tangu akiwa makamu wa Rais Obama, kwa sisi tulio soma saikolojia body language ya Biden anapo address masula ya Ukraine ina ashilia kwamba anakuwa driven na hasira kali pamoja na kutaka kulipiza kisasi may be kwa Putin au Urusi in general - sasa hizo si dalili nzuri kwa binadamu anaye shikiria briefcase yenye code za ku-unleash thermonuclear ICBM!!

Binafsi namuogopa sana Biden kwa usalama wa Dunia nzima kuliko mtu mwingine, Trump alikuwa anafanya mambo ya utani utani lakini sio jamaa huyu bwana,watu hawajui tu lakini ukweli ni kwamba jamaa huyu ni hatari kuliko maelezo - 'am not a scare monger lakini tukiwa hai baada ya vita ya Ukraine mtakuja kuniambia.
Ambacho wengi hawajui Biden ana biashara kubwa sana Ukraine.kuna wakati Trump alitaka kupata document toka serikali ya ukraine namna makampuni ya Biden yanavyokwepa kodi huko ukraine.



Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom