Ujerumani: Watu 28 wajeruhiwa baada ya kugongwa na gari lililokuwa linaendeshwa na mkimbizi kutoka Afghanistan

Ujerumani: Watu 28 wajeruhiwa baada ya kugongwa na gari lililokuwa linaendeshwa na mkimbizi kutoka Afghanistan

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Yani hawa Wajerumani si ndio walikuwa upfront kuwapokea kwa wingi ngoja waendeleee kuona moto.

Mara ya mwisho kuna mmoja alifanya hivi hivi sasa leo tuna mwingine kafanya yake, kuendesha gari na kuwasomba watu waliokuwa pembezoni.

Hawa watu asili yao ni kuitafuta damu, damu ya asieamini kama wao
Screenshot_20250213-163039.png
 
Itikadi kali unamaanisha kina nani? Hapo inasema “ with multiple arrests of theft and drug dealing “
 
Itikadi kali unamaanisha kina nani? Hapo inasema “ with multiple arrests of theft and drug dealing “
Mjinga huyo haelewi akiona jina la kiislam au nchi za kiarabu basi ni itikadi kali
 
Jamaa alikamatwa kwa makosa ya wizi na madawa ya kulevya ,sasa huyo itikadi ataitolewa wapi?

Kila mtu arudi kwao na nyie msivamie nchi xa watu..
 
Akili huna pamoja na wote wanaosapoti mawazo kama yako , mtu akiua hata kwa personal interest au hata awe mgonjwa wa akili akiwa na jina la Kiislamu basi ni kosa dini imemtuma .

Criminal incidents ngapi zilizowhai kutokea Duniani na zinatoke kila siku na wahusika wa Dini nyingine mbona hawahusishwi na dini yao ? Maarasssss

Uislamu unasisistiza Amani , kuhifadhi damu za watu na mauji yasio na hatia kwa raia na wengineo na ukimuona Muislamu au kikundi chochote kinchojinasibisha na Uislamu wanafanya mauaji ya hovyo na ukatili basi jua Sababu ni uchache wa Elimu na ufamu wa sawa wa Dini Yao au kufuta matamanio ya nafsi baada ya kubainikiwa na uongofu.
 
Back
Top Bottom