Ujerumani: Watu 28 wajeruhiwa baada ya kugongwa na gari lililokuwa linaendeshwa na mkimbizi kutoka Afghanistan

Ujerumani: Watu 28 wajeruhiwa baada ya kugongwa na gari lililokuwa linaendeshwa na mkimbizi kutoka Afghanistan

Akili huna pamoja na wote wanaosapoti mawazo kama yako , mtu akiua hata kwa personal interest au hata awe mgonjwa wa akili akiwa na jina la Kiislamu basi ni kosa dini imemtuma .

Criminal incidents ngapi zilizowhai kutokea Duniani na zinatoke kila siku na wahusika wa Dini nyingine mbona hawahusishwi na dini yao ? Maarasssss

Uislamu unasisistiza Amani , kuhifadhi damu za watu na mauji yasio na hatia kwa raia na wengineo na ukimuona Muislamu au kikundi chochote kinchojinasibisha na Uislamu wanafanya mauaji ya hovyo na ukatili basi jua Sababu ni uchache wa Elimu na ufamu wa sawa wa Dini Yao au kufuta matamanio ya nafsi baada ya kubainikiwa na uongofu.
Ni kweli uislamu unasisitiza amani ila waumini wake wengi wamekuwa wazito kuilinda amani.

Ukitaka kuamini nachosema Ramadhani si inakaribia? Utajionea mwenyewe kwa macho yako hapo Zanzibar kitachokua kinaendelea kwa wasio waislamu.
 
Yani hawa Wajerumani si ndio walikuwa upfront kuwapokea kwa wingi ngoja waendeleee kuona moto.

Mara ya mwisho kuna mmoja alifanya hivi hivi sasa leo tuna mwingine kafanya yake, kuendesha gari na kuwasomba watu waliokuwa pembezoni.

Hawa watu asili yao ni kuitafuta damu, damu ya asieamini kama wao
View attachment 3235488
Halafu wakifukuzwa wanamaindi ama kweli shukrani ya punda ni mateke
 
Hahahahaa we jamaa
Ndio hivyo kuna jamaa ndio anafanya hivyo sasa amefikisha tripu ya 10 ila amechoka balaa maana 10 × 4 = 40 hapo ana watoto kadhaa yupo bush huko yeye ni kuoa 4 na kuacha wote na kuchukua wengine 4 na kuacha kisha anachukua wengine 4 anawaacha anachukua wengine 4 wao si wanataka hela tu
 
Yani hawa Wajerumani si ndio walikuwa upfront kuwapokea kwa wingi ngoja waendeleee kuona moto.

Mara ya mwisho kuna mmoja alifanya hivi hivi sasa leo tuna mwingine kafanya yake, kuendesha gari na kuwasomba watu waliokuwa pembezoni.

Hawa watu asili yao ni kuitafuta damu, damu ya asieamini kama wao
View attachment 3235488
Majini yanataka damu MK254
 
Ni kweli kabisa kwamba sio kila muislam ni gaidi ila kila gaidi ni muislam. That's the truth.
 
Yani hawa Wajerumani si ndio walikuwa upfront kuwapokea kwa wingi ngoja waendeleee kuona moto.

Mara ya mwisho kuna mmoja alifanya hivi hivi sasa leo tuna mwingine kafanya yake, kuendesha gari na kuwasomba watu waliokuwa pembezoni.

Hawa watu asili yao ni kuitafuta damu, damu ya asieamini kama wao
Wawe wapole kule Afghanistan WAZUNGU wote wameuwa watu ovyo ovyo asa UK AUSTRALIA German USA Makamanda walipewa Order wawazoeshe vijana kuuwa!!!

kwakua ichi kizazi chao akijawai pigana Vita kwaiyo walikuwa wanawapa Uzoefu wa kuuwa wanauwa Watu kama kuku tu mtu yupo ShAMBA anaona Wanajesh wanamjia
yeye ana Wasiwasi wowote mana sio mwanajesh pale Wanalima tu lkn wanauwawa wote!!

Vijana wametoa Siri uko Australia na kwenye kuojiwa uyu mfalme Henry juzi kaongelewa na TRAMP uyu Dogo pia alikili kuuwa watu Ovyo ovyo!!! Siri ilianzia kutoka Australia sasa na Henry kaimwaga iyo Siri!!!!

Yani WAZUNGU WATOKE KWAO ULAYA WAENDA KUUWA WATU AFGHANISTAN ADI VITOTO KWENYE ARUSI watu wazima wamama WANAUWA ADI BIBI ARUSI BWANA ARUSI akuna sababu yoyote ili TU Wanajesh wa KiZUNGU Wajifunze kuuwa!!!!

Sasa Damu zao wanazilipa Talatibu inabidi nao Waonje Uchungu wa kuuwa Watu ovyo ovyo Mzungu sio mtu wakawaida waacheni nao Wapitie maumivu !!! Milokole yetu inapenda kudandia gari kwa mbele mizwazwa mzigo kwa Taifa,
 
Bora wangewapokea weusi kuliko hao
Weusi ni kujipendekeza kwa wazungu ila wao hawatuoni ni binadamu Mwarabu mbele ya mzungu ni mwenziwe ila inapokuja kwetu ni nyani tu.
 
Ni kweli uislamu unasisitiza amani ila waumini wake wengi wamekuwa wazito kuilinda amani.

Ukitaka kuamini nachosema Ramadhani si inakaribia? Utajionea mwenyewe kwa macho yako hapo Zanzibar kitachokua kinaendelea kwa wasio waislamu.
Sasa si wafunge tu kwanza ni afya kuliko kulo ovyo ovyo ...kama vipi warudi Dodoma
 
Warudishwe kwao hao ngedere.
Awarudi kwao adi nawao wawauwe wazungu kama kule Afghanistan walivouwa waAfghanistan ovyo. Nani kawatuma Wazungu waende kuchinja watu Afghanistan !!!! Zam yao sasa!!
 
Ni kweli kabisa kwamba sio kila muislam ni gaidi ila kila gaidi ni muislam. That's the truth.
Kama walivo Wazungu Magaidi walipoenda kuwachokoza na kuwauwa kwao wa Afghanistan!! Kabla ya apo akuna mu Afghanistan alifanya tukio uko Ulaya.!!???

Mwanakulitafuta mwana kulipata!!! Apa kwetu utawala wa Awamu ya 4 uliombwa kupeleka Jesh Somalia!!! MZEE JAKAYA akili kubwa akashtuka!!! Sawa Wangelipwa vizuli Pesa tunataka pesa sawa!!

lkn usalama wetu ndio msingi wa kilakitu! GAID MZUNGU WACHENI NAO WAFE!!!
 
Bora wangewapokea weusi kuliko hao
Ingewekwa sheria mkimbizi Mwislamu apelekwe nchi za kiislamu na Mkristo apelekwe kwa Wakristo wenzake.. hao jamaa hawafadhiliki..
 
Ingewekwa sheria mkimbizi Mwislamu apelekwe nchi za kiislamu na Mkristo apelekwe kwa Wakristo wenzake.. hao jamaa hawafadhiliki..
🤣😅
Wao wenyewe wanakwepana hawaaminiani
 
Awarudi kwao adi nawao wawauwe wazungu kama kule Afghanistan walivouwa waAfghanistan ovyo. Nani kawatuma Wazungu waende kuchinja watu Afghanistan !!!! Zam yao sasa!!
Hivi na ww huwa unajiamini kuwa unachangia post humu JF kwa contents za kipumbavu hivi ?
 
Back
Top Bottom