Akili huna pamoja na wote wanaosapoti mawazo kama yako , mtu akiua hata kwa personal interest au hata awe mgonjwa wa akili akiwa na jina la Kiislamu basi ni kosa dini imemtuma .
Criminal incidents ngapi zilizowhai kutokea Duniani na zinatoke kila siku na wahusika wa Dini nyingine mbona hawahusishwi na dini yao ? Maarasssss
Uislamu unasisistiza Amani , kuhifadhi damu za watu na mauji yasio na hatia kwa raia na wengineo na ukimuona Muislamu au kikundi chochote kinchojinasibisha na Uislamu wanafanya mauaji ya hovyo na ukatili basi jua Sababu ni uchache wa Elimu na ufamu wa sawa wa Dini Yao au kufuta matamanio ya nafsi baada ya kubainikiwa na uongofu.