Ujerumani yaifungulia Ukraine kupiga kijeshi kwa silaha zake popote ndani ya Urusi

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Baada ya kuzidi kwa mfululizo wa mashambulizi ya mauaji ya raia ndani ya Ukraine siku za hivi karibuni kutoka kwa jeshi la Putin kansela mpya wa Ujerumani ameruhusu Ukraine kutumia silaha za Ujerumani kufanya mashambulizi popote kwenye maeneo ya kijeshi ndani ya Urusi.

Screenshot_20250527-083803_X.jpg

Screenshot_20250527-070849_X.jpg
 
Silaha gani alizokuwa nazo Ujerumani zinazoweza leta athari kubwa ndani ya Russia?Ikiwa Mama yao Marekani kashindwa kuproduce hizo silaha kali Ujerumani ataweza?
 
Marekani ipi haiwezi kuzalisha silaha zinazoweza kuleta madhara ndani ya Urusi?
 
Silaha gani alizokuwa nazo Ujerumani zinazoweza leta athari kubwa ndani ya Russia?Ikiwa Mama yao Marekani kashindwa kuproduce hizo silaha kali Ujerumani ataweza?
Hawa ndo wanaimba Samia mitano tena
 
Baada ya kuzidi kwa mfululizo wa mashambulizi ya mauaji ya raia ndani ya Ukraine siku za hivi karibuni kutoka kwa jeshi la Putin kansela mpya wa Ujerumani ameruhusu Ukraine kutumia silaha za Ujerumani kufanya mashambulizi popote kwenye maeneo ya kijeshi ndani ya Urusi.

View attachment 3347249
View attachment 3347250
Mleta mada mbona kama umekuja kutupotezea muda kwa vitu ambavyo hata wewe mwenyewe ungeweza kufikiri tu na kujiongeza.
Kurks ilivamiwa na Silaha gani?
 
Back
Top Bottom