Na watajuta kwani Putin hayo aliyajua kabla ya SMO.Wamechelewa sana
Marekani ipi haiwezi kuzalisha silaha zinazoweza kuleta madhara ndani ya Urusi?Silaha gani alizokuwa nazo Ujerumani zinazoweza leta athari kubwa ndani ya Russia?Ikiwa Mama yao Marekani kashindwa kuproduce hizo silaha kali Ujerumani ataweza?
Sasa si ampe Ukraine azitumie tuone hayo madharaMarekani ipi haiwezi kuzalisha silaha zinazoweza kuleta madhara ndani ya Urusi?
Unahis wamekurupuka kutoa maamuz hayo?Na watajuta kwani Putin hayo aliyajua kabla ya SMO.
Hawa ndo wanaimba Samia mitano tenaSilaha gani alizokuwa nazo Ujerumani zinazoweza leta athari kubwa ndani ya Russia?Ikiwa Mama yao Marekani kashindwa kuproduce hizo silaha kali Ujerumani ataweza?
Tuliza kinyeo dogo au unatafuta bashaHawa ndo wanaimba Samia mitano tena
Ukijua chanzo cha kuanzishwa kwa NATO hili swali usingeulizaMarekani ipi haiwezi kuzalisha silaha zinazoweza kuleta madhara ndani ya Urusi?
Umeandika kishabiki sanaWamechelewa sana
Achana naye huyo hakuna kitu anajua. Wao wajiulize bwana wao Russia yupo pamoja na waarabu Syria imepigwa Mara nyingi na Israel lakini Putin yupo kimya hawajiulizi tu?.Marekani ipi haiwezi kuzalisha silaha zinazoweza kuleta madhara ndani ya Urusi?
Itakuwa hivyo.Unahis wamekurupuka kutoa maamuz hayo?
Mleta mada mbona kama umekuja kutupotezea muda kwa vitu ambavyo hata wewe mwenyewe ungeweza kufikiri tu na kujiongeza.Baada ya kuzidi kwa mfululizo wa mashambulizi ya mauaji ya raia ndani ya Ukraine siku za hivi karibuni kutoka kwa jeshi la Putin kansela mpya wa Ujerumani ameruhusu Ukraine kutumia silaha za Ujerumani kufanya mashambulizi popote kwenye maeneo ya kijeshi ndani ya Urusi.
View attachment 3347249
View attachment 3347250
Umejibu kitaalamu sanaMarekani ipi haiwezi kuzalisha silaha zinazoweza kuleta madhara ndani ya Urusi?