Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Kuna tayari nimeiona ya wiki kadhaa zilizopita kuhusu ufunguzi wa Bar/Pub Kigoma Ujiji ulioleta mtafuruku mkubwa sana mpaka ikabidi aliyefungua Bar aende kukaa na vizee vya hapo kupata ridhaa zao!
Wahojiwa wengi wa hapo wakizungumzia jambo hili la Bar kufunguliwa Ujiji ni kama vile wale raia wa majimbo ya sharia ya Nigeria Kaskazini.
Wahojiwa wengi wa hapo wakizungumzia jambo hili la Bar kufunguliwa Ujiji ni kama vile wale raia wa majimbo ya sharia ya Nigeria Kaskazini.