"Ujinai" wa Lulu katika "mauaji" ya Kanumba (R.I.P)

Hayo ndiyo matatizo ya kukosa emergency system(s) na watu kutojua wakati wa dharula wafanye nini.

Daktari wa marehemu akifika pale baada ya muda gani?

Na huyo daktari ana ujuzi wa huduma ya kwanza? Na alienda hapo na vifaa gani vya huduma ya kwanza?

Hivi hata hizo namba za dharula (112/111?) zina dispatchers wanaofanya kazi masaa 24 kweli?
Anadai alipigiwa simu sometimes saa 6 ana alifika after ten minutes na alikuta game over!, cold body!. Kwa jinsi nilivyoongea nae, honestly I doubt his credentials kutokana na alichoniambia hatua alizochukua, naomba nizizitaje humu ili nisionekana kama nataka ku discredit professionals za watu, tena madaktari!. Nimeogopa kumuuliza maswali mengi ili isije geuka ni interrogation!
 
hard to determine the truth through words za seth na lulu, lulu's words has been all lies, esp. alisema hana boyfriend, hata hivyo this isnt the fact, mdogo wake kanumba andai after kwenda kumuona s.k hakumkuta lulu , na inasemekana lulu alikuwa uchi, so alikimbia uchi... still more qns than answers
 
Unakumbuka suala la PF3 na madaktari kukataa kuhudumia wagonjwa wasionayo?

Ni madaktari wa wapi ambao hukataa kutoa huduma pasipo PF3?

Ni sheria gani, ibara, na kifungu kipi kinachosema wasitoe huduma kwa watu wanaohitaji huduma hususan zile za dharula?

Mbona mimi nimeshawahi kuwahishwa chumba cha dharula na nikashonwa nyuzi bila hata kuombwa hiyo fomu. Hao ni madaktari wa wapi hao wanaofanya hivyo?
 
nimeshashudia mtu akinyimwa huduma tena akiwa hoi bin taaban baada ya kukatwa mapanga akidhaniwa ni mwizi....
Na hakupata tiba mpaka ilipoendewa pf3

Anyway japo sitaweza kwa sasa kutoa kifungu cha sheria husika ila hilo hitaji lipo ILA hata juzi nilipojibu post mojawapo humu nilisema labda zipo exceptions na kuna baadhi ya watu walikuja waksema hivyo.

Sasa point yangu ni kuwa unaweza kuona hata uelewa wa hao madaktari kwenye sheria na taratibu za namna hii ulivyo...
Chukulia mfano wa huyu tabibu wa kanumba, alipoona hali kama ile yeye aliona cha muhimu ni kukimbiza mwili muhimbili? Regadless ya mazingira ya kifo chenyewe?
Sasa huyu kesho akinitimua niko hoi kisa sina pf3 sitashangaa...
btw: ntapekua juu ya kifungu husika bt not now. Au wataalam wakipita hapa pia wanaweza kunikosoa au kunisaidia
 
kwa nini hatuonyeshi interest za kujua aliyemigia simu lulu, alimpigia kwa sababu za;
a)mapenzi
b) au ndo plan na lulu dhidi ya kanumba

Hata mie najiuliza bado..Huyu aliyepiga simu ni nani na alikuwa anataka nini usk kwa mpenzi wa wenzie???
 
hiii kesi ni ngumu, usiseme sio ngumu, ni kwamba tukio hili limemweka lulu katika hali ya kuharibiwa maisha, hata akitoka leo hii itamwathiri maisha yake yote, cha kuelewa ni kwamba, kuanzia sasaivi hadi siku upelelezi utakapokamilika na yeye kufungiwa PI (to be committed to the High court), itachukua muda kwa wapelelezi wa hapa tz, hata miaka miwili, muda wote huo atakuwa ndani. jalada likipelekwa kwa state attorney wakaangalia aina ya kosa la kumshitaki kulingana na maelezo ya mashahidi basi hapo ndo ataweza kupata dhamana kupitia high court kama itakuwa proposed kwamba ashitakiwe kwa manslaughter. baada ya hapo, atafungw amiaka michache tu, wkasababu kwa mazingira halisi, hii ilikuwa bahati mbaya na labda ilitokana na kupigana ambako kisheria huishia kwenye manslaughter. lakini kwa sasa, naweza sema uyu mtoto atatumikia jela si chini ya miaka minne kuanzia sasa, kusubiria upelelezi hadi kesi kusikilizwa. miaka hii kuishi jela si michache. akitoka future yote imeharibika. namwonea huruma sana.

Kwa ma super star wa tanzania wiki ijayo atakuwa free. Wale wanaokaa muda wote gerezani ni wale ambao au hawana pesa au ni watoto wa wakulima wasojulikana.........
 
nimeshashudia mtu akinyimwa huduma tena akiwa hoi bin taaban baada ya kukatwa mapanga akidhaniwa ni mwizi....
Na hakupata tiba mpaka ilipoendewa pf3

Anyway japo sitaweza kwa sasa kutoa kifungu cha sheria husika ila hilo hitaji lipo ILA hata juzi nilipojibu post mojawapo humu nilisema labda zipo exceptions na kuna baadhi ya watu walikuja waksema hivyo.

Sasa point yangu ni kuwa unaweza kuona hata uelewa wa hao madaktari kwenye sheria na taratibu za namna hii ulivyo...
Chukulia mfano wa huyu tabibu wa kanumba, alipoona hali kama ile yeye aliona cha muhimu ni kukimbiza mwili muhimbili? Regadless ya mazingira ya kifo chenyewe?
Sasa huyu kesho akinitimua niko hoi kisa sina pf3 sitashangaa...
btw: ntapekua juu ya kifungu husika bt not now. Au wataalam wakipita hapa pia wanaweza kunikosoa au kunisaidia

Kama kweli hicho kifungu cha sheria kipo basi kuna mawili;

Mosi, hiyo sheria kama imeandikwa kwa Kiingereza basi kuna uwezekano mkubwa sana watu huwa hawaielewi (kama ilivyokuwa kwenye ile mada ya sheria ya kazi kuhusiana na mwajiriwa 'kutakiwa' kumlipa mwajiri endapo yeye mwajiriwa atasitisha ajira yake bila kutoa taarifa ndani ya muda wa kutosha na baada ya kuichambua neno kwa neno ikaja kuonekana hamna kitu kama hicho kwenye sheria ya kazi)

Na pili, kama kweli hiyo sheria ipo basi itakuwa ni moja ya sheria za kijinga, kinyama, na iendayo kinyume kabisa staara ya binadamu. Haiingii akilini kabisa kwa muuguzi kumnyima matibabu binadamu mwenzake anayebubujikwa na damu kisa tu hana kikaratasi kiitwacho PF3.

Rationale ya PF3 ni nini?
 
Ni madaktari wa wapi ambao hukataa kutoa huduma pasipo PF3?

Ni sheria gani, ibara, na kifungu kipi kinachosema wasitoe huduma kwa watu wanaohitaji huduma hususan zile za dharula?

Mbona mimi nimeshawahi kuwahishwa chumba cha dharula na nikashonwa nyuzi bila hata kuombwa hiyo fomu. Hao ni madaktari wa wapi hao wanaofanya hivyo?

Ndio matatizo ya kukosekana "protocols" kuongoza haya mambo.PF3 ni document muhimu kukusanya ushahidi kwenye matukio lakini wakati mwingine ni kiasi cha watendaji kutumia busara on case by case basis.Kwa vile watu walishasikia PF3 ni muhimu basi utashangaa kuna madaktari hawatibu mtu mwenye jeraha kama hana PF3! Kumbe basi mtu anaweza kuwahishwa hospitali apate msaada wakati wengine wakiendea PF3 polisi ambako nako wanaweza kukataa kutoa PF3 hiyo hadi wamuone "majeruhi".Mradi kizungumkuti tu!
Huko miaka ya nyuma nadhani waziri wa afya wa wakati ule Mh.Zakia Meghji aliwahi kutoa directive kuwa watu wapewe huduma hata kama PF3 haijachukuliwa ili kupambana na dharura.Tatizo la directives nani anafuatilia?
 
Kwa ma super star wa tanzania wiki ijayo atakuwa free. Wale wanaokaa muda wote gerezani ni wale ambao au hawana pesa au ni watoto wa wakulima wasojulikana.........
Hivi uzinzi umehalalishwa nchi hii!!?? sijaona hapa anayekemea uzinzi wakati mnajuwa ni kazi ya Shetani na hawa wote wawili walikuwa wanafanya uzinzi usiku ule!! Malaika mwema alishakimbia usiku ule nyumbani kwa Kanumba.
 
Ndio matatizo ya kukosekana "protocols" kuongoza haya mambo.PF3 ni document muhimu kukusanya ushahidi kwenye matukio lakini wakati mwingine ni kiasi cha watendaji kutumia busara on case by case basis.Kwa vile watu walishasikia PF3 ni muhimu basi utashangaa kuna madaktari hawatibu mtu mwenye jeraha kama hana PF3! Kumbe basi mtu anaweza kuwahishwa hospitali apate msaada wakati wengine wakiendea PF3 polisi ambako nako wanaweza kukataa kutoa PF3 hiyo hadi wamuone "majeruhi".Mradi kizungumkuti tu!
Huko miaka ya nyuma nadhani waziri wa afya wa wakati ule Mh.Zakia Meghji aliwahi kutoa directive kuwa watu wapewe huduma hata kama PF3 haijachukuliwa ili kupambana na dharura.Tatizo la directives nani anafuatilia?

Ahaaa sasa kidogo WOS umenipa mwanga!

Kwa sababu haingii akilini kabisa. Mtu aliye mahututi unamnyima matibabu kisa hana PF3?....Kama ana hali mbaya kiasi cha kushindwa hata kwenda huko zinakopatikana hizo PF3 je?

Ni heri hata wangeweka vituo vidogo vya polisi kwenye hospitali zote kubwa kubwa basi. Au hata humo ndani ya hospitali wangefungua basi ofisi za polisi kwa dhumuni hilo la kutoa PF3 kama ni document muhimu hivyo katika kupata matibabu.
 
Kama kweli hicho kifungu cha sheria kipo basi kuna mawili;

Mosi, hiyo sheria kama imeandikwa kwa Kiingereza basi kuna uwezekano mkubwa sana watu huwa hawaielewi (kama ilivyokuwa kwenye ile mada ya sheria ya kazi kuhusiana na mwajiriwa 'kutakiwa' kumlipa mwajiri endapo yeye mwajiriwa atasitisha ajira yake bila kutoa taarifa ndani ya muda wa kutosha na baada ya kuichambua neno kwa neno ikaja kuonekana hamna kitu kama hicho kwenye sheria ya kazi)

Na pili, kama kweli hiyo sheria ipo basi itakuwa ni moja ya sheria za kijinga, kinyama, na iendayo kinyume kabisa staara ya binadamu. Haiingii akilini kabisa kwa muuguzi kumnyima matibabu binadamu mwenzake anayebubujikwa na damu kisa tu hana kikaratasi kiitwacho PF3.

Rationale ya PF3 ni nini?

Nakubaliana na wewe kwenye hayo mawili, yote yawezekana! Kutoelewa tafsiri sahihi ya sheria husika na pia uwepo wa sheria mbovu mbovu...ni changamoto tulizo nazo...

Niliuliza swali hilo hilo juu ya rationale ya hii PF3! WoS kagusia hapo juu...
 
Ahaaa sasa kidogo WOS umenipa mwanga!

Kwa sababu haingii akilini kabisa. Mtu aliye mahututi unamnyima matibabu kisa hana PF3?....Kama ana hali mbaya kiasi cha kushindwa hata kwenda huko zinakopatikana hizo PF3 je?

Ni heri hata wangeweka vituo vidogo vya polisi kwenye hospitali zote kubwa kubwa basi. Au hata humo ndani ya hospitali wangefungua basi ofisi za polisi kwa dhumuni hilo la kutoa PF3 kama ni document muhimu hivyo katika kupata matibabu.

Wizara ya sheria "inafanyia kazi" kurekebisha hili, ila ndio ukisikia kugha kama hii ujue matunda yake hayako karibu.The good thing is, bado kuna namna nyingine y akushughulikia hili tatizo.Kwa mfano sasa hivi tunavyoongea, kuna guidelines za wizara ya afya kuhusu kushughulikia waathirika wa gender-based violence. Mtu yeyote - mwanamke, mwanaume au mtoto atayakayepata madhara yatokanayo na GBV basi hahitaji kupata PF3 kabla ya matibabu. Na uzuri ni kwamba kuna GBV desks kwenye pilot police stations zenye askari waliofunzwa kushughulikia haya mambo. Kule Zanzibar wao wana hadi kituo - one-stop centre chenye kila kitu kinachohitajika - police na PF3 zao, madaktari, counsellors etc. Hii inanifanya kijiulize ni kiasi gani wananchi wanajua haya mambo? Daktari wa Kanumba na wengine wangejua kuna hii facility/possibility, ukizingatia huo ugomvi ni gender-based, PF3 haikuhitajika! Ubaya ni kule kutokutafsiri mambo kwa mapana.

Sidhani kuna mtu ameaona hii ni gender based violence kwa vile muathirika ni mwanaume!
Violence imehusika kwa wote..huo ugomvi na vurugu zilizotokea hadi mauti yakamfika mmoja wa waliokuwa kwenye ugomvi ni GBV!
 
WoS hayo madawati ya GBV yanafanya kazi kwa huku bara? How effective are they? Yaani mimi niliishia kuona walipopatiwa mafunzo tu na sasa naona umenipa shauku nifuatilie...

Mara nyingi kwenye kesi za GBV kama muathirika ni mwanaume naona huwa hatutilii maanani tena, labda kwa vile tumezoea kesi nyingi waathirika ni wanawake na ndo maana wengine tukisikia 'gender' tunajua inawahusu wanawake...

Umenikumbusha 'gender center' ya Dr. F. MUkangara pale UDSM wanachama mwanzo walikuwa wadada tu...y
 
bht,
Hizo za police ni Desks maalumu za GBV na ni tofauti na Gender Centre kama hiyo ya Dr Mukangara pale UDSM.

Hizi za polisi zipo na zinafanya kazi lakini siyo kwenye vituo vyote vya polisi. Nadhani GBV Desks zipo kwenye station karibu 200 katika mikoa kadhaa. Zinaendelea kuongezwa. Mafunzo yanaendelea na hata curriculum kwenye police training colleges inapitiwa kuingingiza haya maswala ili police wapate mafunzo kwa njia rasmi zaidi maana hata huko nako kuna tatizo la kuweza kutafsiri GBV ni nini na kwamba hata mwanaume anaweza kuathirika na GBV.
 
Wizara ya sheria "inafanyia kazi" kurekebisha hili, ila ndio ukisikia kugha kama hii ujue matunda yake hayako karibu.The good thing is, bado kuna namna nyingine y akushughulikia hili tatizo.Kwa mfano sasa hivi tunavyoongea, kuna guidelines za wizara ya afya kuhusu kushughulikia waathirika wa gender-based violence. Mtu yeyote - mwanamke, mwanaume au mtoto atayakayepata madhara yatokanayo na GBV basi hahitaji kupata PF3 kabla ya matibabu. Na uzuri ni kwamba kuna GBV desks kwenye pilot police stations zenye askari waliofunzwa kushughulikia haya mambo. Kule Zanzibar wao wana hadi kituo - one-stop centre chenye kila kitu kinachohitajika - police na PF3 zao, madaktari, counsellors etc. Hii inanifanya kijiulize ni kiasi gani wananchi wanajua haya mambo? Daktari wa Kanumba na wengine wangejua kuna hii facility/possibility, ukizingatia huo ugomvi ni gender-based, PF3 haikuhitajika! Ubaya ni kule kutokutafsiri mambo kwa mapana. Sidhani kuna mtu naona hii ni gender based violence kwa vile muathirika ni mwanaume!
WoS, hii angle ya GBV hata mimi ndio unanifungua macho!. Nami nilielewa anything to do with gender means wanawake, hivyo tafsiri yangu ya GBV ni vipigo kwa mama zetu na gender activists kwangu ni kinamama watetea haki za wanawake, gender balancing ni kubalance idadi ya wanawake, gender concious ni kuzingatia mahitaji ya wanawake gender mainstreaming ni kuingiza jinsia ya kike kwenye masuala mtambuka ya kitasisi!. Kumbe I was wrong!.

Asante kutufungua macho!.
 
kuumizwa kwa lulu(majeraha) kulitokana na nini?
Kipigo kutoka kwa kanumba?
Kipigo kutoka kwa seth?
Kipigo kutoka kwa polisi wakati wa mahojiano?
Kipigo kutoka kwa majirani au mashabiki wa kanumba?
Majeraha ya kujipandikiza(self inflicted)?
Majeraha kabla ya kufika kwa kanumba(labda wazazi walimpiga)?
................
Hapa ndipo tutakapoona weledi wa forensic investigators nchini kwetu.

Umeona mbali kaka,big up!
 
bht,
Hizo za police ni Desks maalumu za GBV na ni tofauti na Gender Centre kama hiyo ya Dr Mukangara pale UDSM.

Hizi za polisi zipo na zinafanya kazi lakini siyo kwenye vituo vyote vya polisi. Nadhani GBV Desks zipo kwenye station karibu 200 katika mikoa kadhaa. Zinaendelea kuongezwa. Mafunzo yanaendelea na hata curriculum kwenye police training colleges inapitiwa kuingingiza haya maswala ili police wapate mafunzo kwa njia rasmi zaidi maana hata huko nako kuna tatizo la kuweza kutafsiri GBV ni nini na kwamba hata mwanaume anaweza kuathirika na GBV.
Kwa tofauti hiyo haina mjadala ila tu nimeisema gender center kwa vile na wewe umegusia kuwa vile mwathirika ni mwanaume hatuoni hili suala linahusu GBV

Asante sana ...this is very much enlightening sisy.
 
WoS, hii angle ya GBV hata mimi ndio unanifungua macho!. Nami nilielewa anything to do with gender means wanawake, hivyo tafsiri yangu ya GBV ni vipigo kwa mama zetu na gender activists kwangu ni kinamama watetea haki za wanawake, gender balancing ni kubalance idadi ya wanawake, gender concious ni kuzingatia mahitaji ya wanawake gender mainstreaming ni kuingiza jinsia ya kike kwenye masuala mtambuka ya kitasisi!. Kumbe I was wrong!.

Asante kutufungua macho!.

Hahaaaa Pasco bana...ndiyo matatizo ya kutumia Kiingereza hayo. Ingekuwa ni 'jinsia' nadhani ungeweza kuelewa zaidi :nod:
 
All these are speculations, By Law She is still innocent until proven otherwise..., kiubinadamu na kwa kuangalia haraka haraka she is no cold blooded killer if anything kama anahusika itakuwa ni bahati mbaya (cant say self defense) sababu hata sidhani kama marehemu alikuwa / angetaka kumuumiza sana.., might just be ugomvi ambao has gone terribly wrong..

In court anything can happen with a good lawyer she will be out in no time.., with pressure from the media na watu mbalimbali she might rot in jail.., (na sasa naanza kuona uwezekano wa wazazi na walezi nao kupata misusuko) as you know mchuma janga hula na wa kwao.
 
WoS, hii angle ya GBV hata mimi ndio unanifungua macho!. Nami nilielewa anything to do with gender means wanawake, hivyo tafsiri yangu ya GBV ni vipigo kwa mama zetu na gender activists kwangu ni kinamama watetea haki za wanawake, gender balancing ni kubalance idadi ya wanawake, gender concious ni kuzingatia mahitaji ya wanawake gender mainstreaming ni kuingiza jinsia ya kike kwenye masuala mtambuka ya kitasisi!. Kumbe I was wrong!.

Asante kutufungua macho!.

Mwanzo mzuri Pasco.... angalau unajua some concepts hata kama inahitaji kupiga msasa kidogo ili zinyooke.
 
Back
Top Bottom