"Ujinai" wa Lulu katika "mauaji" ya Kanumba (R.I.P)


This is just the court of public opinion where pretty much anything goes.

At some point she will get her chance in the court of law where hopefully she will be given a fair shake to tell her side of the story.
 
Lulu kisheria anaweza kushinda kesi ila pressure kutoka kwa jamii inafanya hata serikali pamoja na mahakama kulichukilia tukio kipekee
 
Hivi kwamfano LULU akionekana anamiaka 17 itakuwaje?
Ataachiwa huru?
Au mfumo wa kumshitaki utabadilika
 
Hasira Hasara, Dhambi huzaa mauti. Poleni ndugu wa wahusika.
 
Swali liko palepale..

Mtoto wa miaka 18 anatafuta nini vibanda vya watu saa 6 usiku? Hana wazazi?
 

Kwanza wewe unasema Lulu hafit kwenye kesi ya jinai, halafu unasema tusubiri mpaka afikishwe mahakamani, halafu hauna uhakika na umri wa Lulu wakati yeye mwenyewe alitangaza hadharani kuwa ni equal or above 18. Wewe haya umeyatoa kwa Halima Mdee, au uliongozana na Halima Mdee? Halima Mdee anaweza hasijuwe vizuri sheria pamoja na kusoma Law kwani hakuna mwaka ambao hajawahi ku-sup wakati akiwa UDSM.

Hasiyefunzwa na mamaye ufunzwa na ulimwengu - hii ni kwa wote wawili - marehemu na Lulu!!!!
 
Alijipa 18 ili asiwekewe pingamizi kuingia kwenye mapenzi(ambayo kimsingi alianza kitambo)...kaingia kwenye tuhuma za mauaji umri umepungua kua 17...anyway umri ni tarakimu tu!...
 
Ikiwa ana umri wa miaka 17 kweli, lakini mara kadhaa ameonekana wazi akisema ana miaka 18, linaweza kutumiwa na waendesha mashitaka kuwa Lulu ana asili ya uongo na maelezo yake ya nini kilitokea chumbani yasizingatiwe

Polisi wamemtaja Lulu kuwa na umri wa miaka 18, sitaki kuamini kuwa hata Hilo walililitoa from thin air.

Kama maelezo yake ya awali polisi alijitaja kuwa na umri wa miaka 18 wakati ni uongo, haaminiki maelezo yake
 
Tanzania EMT wapo pia unatakiwa kupiga 999
 
hivi lulu alijisalimisha au alisakwa na kukamatwa na polisi?
vyombo vya habari vinatuchanganya. mwananchi waliandika kuwa lulu alibakizwa kituo cha polisi walipokwenda kuchukua PF3 ili Kanumba aweze kutibiwa. gazeti jingine limeandika lulu alikimbia baada ya tukio na halielezi amefikafikaje polisi. mkorogo mtupu.
 
Unasema kushikiliwa na polisi ni utaratibu wa kawaida, halafu hapo hapo unakuja kusema ilisikitisha sana watu kushikiliwa kwa kosa la ndugu yao kujiua. Sasa kama kushikiliwa na polisi ni utaratibu wa kawaida, inasikitisha nini tena? Hebu fafanua
 

Prejudice ...lets wait for the facts to unveil! People are being driven by emotions and political agenda...WOS take note we only take facts and not hear say from media et al.
 
Mie nasubiri kesi iishe, niitafsiri kisha niiweka hapa Ijumaa zijazo..........................
 
ni ushahidi gani unaokufanya useme motive ya murder haikuwepo?unajuaje kwamba lulu alifika na kifaa(mfano chuma kizito) kwa ajili ya kumpiga kanumba?
Unajuaje simu aliyopokea lulu ilimpa maelekezo nini cha kufanya ili amuadhibu marehemu?
Ina maana Mkuu Jackbauer unataka turudi kwenye seen of crime kupata new evidence au ndugu zangu wa polisi wameisha pata hata simu ya Lulu ili kurudi kwenye mtandao kupata simu hiyo ya mwisho in between???? Umeweka situation of doubt in the whole scenario for my friends the investigators to collect every piece of evidence for the sake of clarification!!!! Mimi kwa maoni yangu hili jambo si la kuchukulia juujuu tuu eti tumemaliza, let the law enforcers be smart and bring the culprit to face the law!!!!

 

Mpendwa, kama jambo hujalijua vizuri yapendeza ukiuliza kwanza.
Ukisoma tena utagundua ulichoandika au kudhania nimesema sivyo. Somo la mwanzo kabisa katika kila lugha ni UFAHAMU - ili kupima kama tukisoma au kusomewa aukuambiwa tuna uwezo gani kuelewa ujumbe tunaopewa. Hayo uliyoyaandika sijui yananihusu vipi kama mwanzisha mada.Nakushauri urudie tena kusoma ili uwe ukurasa mmoja na wengine.Pia nilichoandika sijaambiwa na Halima Mdee!
 
WoS umeweka kitu cha maana sana. Nimefuatilia uzi huutoka mwanzo na nimejifunza mengi. Natamani kama wapelelezi wa hii kesi wanapita humu wakasoma. Kiukweli JF ni zaidi ya shule....
 
Hivi kwamfano LULU akionekana anamiaka 17 itakuwaje?
Ataachiwa huru?
Au mfumo wa kumshitaki utabadilika

Ebu some kifungu hiki cha makosa ya jinai (Tanzania):

15. A person under the age of seven years is not criminally immatureresponsible for any act or omission.A person under the age of twelve years is not criminally responsiblefor an act or omission, unless it is proved that at the time ofdoing the act or making the omission he had capacity to know thathe ought not to do the act or make the omission.A male person under the age of twelve years is presumed to be​
incapable of having carnal knowledge.


source:http://www.un.org/depts/los/LEGISLATIONANDTREATIES/PDFFILES/TZA_penal_code.pdf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…