Ujinga na kukosa exposure ni tatizo kubwa sana kwa wana CCM wengi

Tunajenga kwa pesa zetu.Unachukua mchunga mbuzi ndio awe kiongozi unategemea nini? Lazima atakuwa na akili fupi tuu kama mkia wa mbuzi
 
Aliwakatalia wajenzi kuweka lift hospital ya Chamwino tena live kwenye camera. Mawazo yake elevator ni anasa kumbe kwa hospital ya ghorofa kuwepo kwa elevator ni compulsory
Alijenga hostel za UDSM chini ya Kiwango huku zikitumia pesa nyingi Sana lakini yeye alikuwa anadanganya watu,CAG alimuumbua
 
Rudi kwenu Burundi . Tanzania iliyo chini ya watanzania kweli haina hizo roho za kipumbavu tena
 
Rudi kwenu Burundi . Tanzania iliyo chini ya watanzania kweli haina hizo roho za kipumbavu tena
mpaka leo sioni umuhimu wenu labda vyama vingine vianzishwe ila sio iivi vyenu vya kupinga miradi
 
Kipi kimebadilika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…