Ujinga niliowahi kuufanya kulilia penzi la mchepuko

❤️ SOMA NENO LA MUNGU❤️
📖 Mithali 31: 2-3, 30

🧏🏻‍♂️ Sikia

📌2 Ni nini, mwanangu? Tena ni nini, mwana wa tumbo langu? Tena, ni nini mwana wa nadhiri zangu?

📌3 Usiwape wanawake nguvu zako; Wala moyo wako usiwape wale wawaharibuo wafalme.

📌30 Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye Bwana, ndiye atakayesifiwa.

🙏❤️ Mbingu Ipo❤️🙏
 
Hata kama mzee we huoni bado inakuuma ili kuiridhisha nafsi mpige pesa mkeo
Mimi nina principle moja yaani nikiwanunulia hata washkaji soda tu basi home nitafanya mara 2 yake inaniuma kutumia pesa kufurahisha watu baki wakati una watu wako home

(Who will cry when you die)

Malaya Hana shukhran wala washkaji ila mfurahishe mkeo na wazazi wako maombi ya haya watu unajikuta unatoboa tu

Kuna mda wanakuombea ila huwezi jua na hawawezi kukwambia ni hayo tu mpende mkeo
Safi Sana mkuu, kwa pamoja tuwe na msimamo ili kujenga ustawi wa familia zetu
 
Kuna MTU/ Mdada aliwahi kuniambia/kuniasa hivi "Mchepuko ni kwa ajili ya hamu tu na ukihisi upweke wala sio kuwekeza"! Wewe Dada ntakukumbuka daima, yaani Mchepuko mtafute ukiwa na hamu na mechi za ugenini
Napinga mchepuko haupo hivi,labda Kama kununua wale wengine

Yaani bei makubaliano.
 
Kuna MTU/ Mdada aliwahi kuniambia/kuniasa hivi "Mchepuko ni kwa ajili ya hamu tu na ukihisi upweke wala sio kuwekeza"! Wewe Dada ntakukumbuka daima, yaani Mchepuko mtafute ukiwa na hamu na mechi za ugenini
Mchepuko ni nini?

Ni mwanamke wa pembeni tofauti na mkeo ambaye hupewa huduma zote

Chakula,mavazi,mafuta ya gari n.k

Kumbuka,siyo Kila muda lazima mfanye mapenzi,

Ulichoandika hapa siyo mchepuko,ila ni mwanamke anayejiuza, au ni mke wa mtu
 
Hata kama mzee we huoni bado inakuuma ili kuiridhisha nafsi mpige pesa mkeo
Mimi nina principle moja yaani nikiwanunulia hata washkaji soda tu basi home nitafanya mara 2 yake inaniuma kutumia pesa kufurahisha watu baki wakati una watu wako home

(Who will cry when you die)

Malaya Hana shukhran wala washkaji ila mfurahishe mkeo na wazazi wako maombi ya haya watu unajikuta unatoboa tu

Kuna mda wanakuombea ila huwezi jua na hawawezi kukwambia ni hayo tu mpende mkeo
We ni mwanaume nanusu kama wanaume wote wangejua haya basi maisha yangekuwa shwari
 
Mchepuko ni nini?

Ni mwanamke wa pembeni tofauti na mkeo ambaye hupewa huduma zote

Chakula,mavazi,mafuta ya gari n.k

Kumbuka,siyo Kila muda lazima mfanye mapenzi,

Ulichoandika hapa siyo mchepuko,ila ni mwanamke anayejiuza, au ni mke wa mtu
Bado hutaki kuelewa,kuwekeza ndiko kumekuleta hapa unalia na bado unasapot kuwekeza!idiot
 
Mchepuko ni nini?

Ni mwanamke wa pembeni tofauti na mkeo ambaye hupewa huduma zote

Chakula,mavazi,mafuta ya gari n.k

Kumbuka,siyo Kila muda lazima mfanye mapenzi,

Ulichoandika hapa siyo mchepuko,ila ni mwanamke anayejiuza, au ni mke wa mtu
Hii definition ni yako Bingwa, siwezi kukubishia
 
Hahahahaha 150K hiyooooooooo kenda kuitafuna na kiserengeti chake. Poleee. 😂😂

Habari wanabodi ni matumaini yangu mu wazima

Kama ada wana MMU,vipo visa vingi tunafanyiana wanandoa hasa mtu kuumizwa na mapenzi na mtu mwingine ilhali mtu una mke/mume.
 
Tunapitia tje same situation, mim mchepuko wangu nlimkamata na sms anazochat na mpenz(kibwengo) wake. Nliumia sana.

Mbaya zaidi kuna siku aliniomba ruhusa aende mkoani(tupo wilayani) kweny mahafali ya rafiki yake nlimruhusu kwa masharti kua arudi siku ileile na awe anawasiliana nami mda mwingi.

Kwnza alikata mawasiliano nikipiga hapokei amekuja kupokea siku ya pili akasema kua alishindwa kunambia ukweli kaenda kumuuguza mdogo wake anaumwa. Siku karudi nikavizia simu kukagua naona yule kibwengo anachat nae ati alimpeleka adi salun kuseti nywele. Roho iliniuma sana.

Lakin utliyasolve saizi tukaendelea kama kawaida.

Nikiri wazi mwanamke uyu nashindwa na siwezi kumuacha
 
Tunapitia tje same situation, mim mchepuko wangu nlimkamata na sms anazochat na mpenz(kibwengo) wake. Nliumia sana. Mbaya zaidi kuna siku aliniomba ruhusa aende mkoani(tupo wilayani) kweny mahafali ya rafiki yake nlimruhusu kwa masharti kua arudi siku ileile na awe anawasiliana nami mda mwingi. Kwnza alikata mawasiliano nikipiga hapokei amekuja kupokea siku ya pili akasema kua alishindwa kunambia ukweli kaenda kumuuguza mdogo wake anaumwa. Siku karudi nikavizia simu kukagua naona yule kibwengo anachat nae ati alimpeleka adi salun kuseti nywele. Roho iliniuma sana. Lakin utliyasolve saizi tukaendelea kama kawaida.

Hapa Sasa wewe unatatizo
 
Usharogwa tayari mkuu

Mda si mrefu utatelekeza familia
 
Back
Top Bottom