Ujinga niliowahi kuufanya kulilia penzi la mchepuko

Ujinga niliowahi kuufanya kulilia penzi la mchepuko

Wekeza kwa mke na watoto, haya mengine ni nyongeza tu.

Don't be too attached to mchepuko hadi kusahau majukumu yako, don't provide to the extent mchepuko anaenjoy hustle zako kuliko familia yako.
 
Tunapitia tje same situation, mim mchepuko wangu nlimkamata na sms anazochat na mpenz(kibwengo) wake.

Nliumia sana

Mbaya zaidi kuna siku aliniomba ruhusa aende mkoani(tupo wilayani) kweny mahafali ya rafiki yake nlimruhusu kwa masharti kua arudi siku ileile na awe anawasiliana nami mda mwingi.

Kwnza alikata mawasiliano nikipiga hapokei amekuja kupokea siku ya pili akasema kua alishindwa kunambia ukweli kaenda kumuuguza mdogo wake anaumwa.

Siku karudi nikavizia simu kukagua naona yule kibwengo anachat nae ati alimpeleka adi salun kuseti nywele. Roho iliniuma sana. Lakin utliyasolve saizi tukaendelea kama kawaida.

Nikiri wazi mwanamke uyu nashindwa na siwezi kumuacha
Not fair. Wewe una mke, naye inabidi atafute mme wake. Inakupasa umpe nafasi ya yeye kuja kuolewa. Au wewe ni dini inakuruhusu kuja kuoa wake 2?

Kama sivyo Ina maana atabaki mchepuko maisha yake yote?
 
Hata ukiwa na mchepuko hatakiwi kula hela nyingi kupita mkeo

Hiki ni kitu muhimu sana kuzingatia.

Mwanamke wa nje hana thamani sawa na mkeo.Ni ardhi na mbingu
 
Una namba ya huu mchepuko chalii au tuulipoti MC?
 
Mchepuko ukupende?

Wanaume aliyewaroga kafa.

Sawa na wale wanaoambiwa ila mheshimu mkeo!!!

Serious?
 
Basi weekend ile nilitulia home tu nikipewa mapenzi Moto Moto na my wife

Nikamsahau kabisa nyang'au yule,halafu akanipigia simu nilichomjibu hatosahau,akaja mpaka ofisini lakini nilimuonesha ukatili hatosahau.
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu kuna kiumbe mmoja nilishawahi kuwa nae kwenye mahusiano yaani alinifanya niwatambue hawa watu...

Mwanamke yeyote ambaye ndani ya masaa 24 kwa siku 7 ratiba anapanga yeye !!! kamwe usimuamin, yaani alinifanya nikataman mda urudi nyuma nisimjue lakini ndo ikawa haiwezekana...
 
Kuna mwengne mchepuko hapokei cm kamuacha wife ndan kajifungia choon kujitumisha miujumbe mirefumirefu we kilichomkuta ni zaid ya majuto ya mjukuu
 
Wekeza kwa mke na watoto, haya mengine ni nyongeza tu.

Don't be too attached to mchepuko hadi kusahau majukumu yako, don't provide to the extent mchepuko anaenjoy hustle zako kuliko familia yako.
Babe mambo gani tena haya unaongea[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
 
Mkuu kuna kiumbe mmoja nilishawahi kuwa nae kwenye mahusiano yaani alinifanya niwatambue hawa watu...
Mwanamke yeyote ambaye ndani ya masaa 24 kwa siku 7 ratiba anapanga yeye !!! kamwe usimuamin, yaani alinifanya nikataman mda urudi nyuma nisimjue lakini ndo ikawa haiwezekana...
Kumbe ratiba anatakiwa apange nani?
 
Back
Top Bottom