Ujinga wa 'Inverted Wingers'!

Ujinga wa 'Inverted Wingers'!

Truth Matters

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2013
Posts
2,302
Reaction score
4,603
Habari wandugu.
Kuna trend kwenye mpira wa kisasa kwa maoni yangu hazina faida badala yake zinaharibu natural flow ya mpira.

1. Team kucheza na inverted wingers! Ilianza kama mzaha na Wakina Zidane, Henry, Messi, Ronaldo na Salah lakini Sasa imekuwa serious Kila timu inatafuta winga wa mguu wa kushoto anapelekwa kulia! Huu upuuzi umehamia mpaka Tanzania! Balua wa Simba na Kichuya wanacheza kama hivyo!

Ukiangalia hao walioanza kucheza hivyo walikuwa exceptional talents! Sasa hawa wenzangu na Mimi utakuta mechi nzima hajatoa mchango wowote wa maana kwa sababu tu hakuwa kwenye natural position

2. Teams kulazimisha kuanza mpira kwa pasi fupi fupi na kipa wao! Yani utaona wachezaji wamejipanga peupe kupokea mpira ilihali washambuliaji wanawatazama! Kama wachezaji hawana control kubwa na confidence huwa ni aibu na majanga!
 
Habari wandugu.
Kuna trend kwenye mpira wa kisasa kwa maoni yangu hazina faida badala yake zinaharibu natural flow ya mpira.

1. Team kucheza na inverted wingers! Ilianza kama mzaha na Wakina Zidane, Henry, Messi, Ronaldo na Salah lakini Sasa umekuwa serious Kila timu inatafuta winga wa mguu wa kushoto anapelekwa kulia! Huu upuuzi umehamia mpaka Tanzania! Balua wa Simba na Kichuya wanacheza kama hivyo!

Ukiangalia hao walioanza kucheza hivi walikuwa exception talents! Sasa hawa wenzangu na Mimi utakuta mechi nzima hajatoa mchango wowote wa maana kwa sababu tu hakuwa kwenye natural position

Suala zima hapo ni tactical understanding of how attack inakuwa affected ukizingatia wale wanao mzunguka.
Pamoja na misema hayo, majukumu kuu ya winger ya abaki pale pale, 1v1 mchekue beki, kumwaga maji na pia kuwa na as many touches in the opponents half. Sasa huku kwetu inverted au sio inverted touches nyingi unakuta zipo kwenye nusu yake.
Last week doku wa man city aligusa mipira 87 ni miwili tuu ilikuwa kwenye nusu yake na 27 ilikuwa ndani ya opposition box.
Bottom line ni kwamba winger shuld offer penetration basi.
 
Walio wengi wanarudisha mpira nyuma au kupotezz kabisa!

Hili lilijaribiwa kwa Aziz Ki na lilifeli vibaya Yanga wakakaachana nalo!

Saka wa Arsenal anaweza kuwa na mchango makubwa mara dufu ya Sasa kama atacheza wide left!
 
Balua apunguze muda wa gym, atumie muda zaidi uwanjani kuboresha uwezo binafsi hasa wa 1-on-1.

Kuhusu pasi za nyuma, nadhani wachezaji wetu hawajajua maana ya hizo pasi. Pasi za nyuma ni kwa ajili ya kuwavuta wachezaji wa timu pinzani wasogee. Hii inahitaji wakati mabeki na kipa wanapasiana, viungo na washambuliaji kuwa wanajiposition katika nafasi nzuri kupokea mipira. Pia kipa na mabeki inabidi nao wawe sharp na uwezo wa kupiga mipira mirefu.

Kuna beki mmoja wa Simba akiwa na mpira ana tabia ya kujifanya kuangalia kwa makini mbele ila mwisho wa siku pasi zake karibia zote huwa ni za pembeni au nyuma. Sidhani kama mara zote anakosa mtu wa mbele wa kumpasia kwa usahihi.
 
Walio wengi wanarudisha mpira nyuma au kupotezz kabisa!

Hili lilijaribiwa kwa Aziz Ki na lilifeli vibaya Yanga wakakaachana nalo!

Saka wa Arsenal anaweza kuwa na mchango makubwa mara dufu ya Sasa kama atacheza wide left!
Moja ya sababu za inverted unakuwa una shambulia mguu dhaifu wa fullback. Na pia mara nyingi hawa wanakuwa sio wazuri katika kupiga cross lakini wako vizuri kwa mashuti
 
Habari wandugu.
Kuna trend kwenye mpira wa kisasa kwa maoni yangu hazina faida badala yake zinaharibu natural flow ya mpira.

1. Team kucheza na inverted wingers! Ilianza kama mzaha na Wakina Zidane, Henry, Messi, Ronaldo na Salah lakini Sasa umekuwa serious Kila timu inatafuta winga wa mguu wa kushoto anapelekwa kulia! Huu upuuzi umehamia mpaka Tanzania! Balua wa Simba na Kichuya wanacheza kama hivyo!

Ukiangalia hao walioanza kucheza hivi walikuwa exception talents! Sasa hawa wenzangu na Mimi utakuta mechi nzima hajatoa mchango wowote wa maana kwa sababu tu hakuwa kwenye natural position

2. Teams kulazimisha kuanza mpira kwa pasi fupi fupi na kipa wao! Yani utaona wachezaji wamejipanga peupe kupokea mpira ilihali washambuliaji wanawatazama! Kama wachezaji hawana control kubwa na confidence huwa ni aibu na majanga!
Makocha wanajua zaidi, yatosha tubaki kuwa wapiga kelele tu.
 
Mambo yanabadilika mkuu, zamani kulikuwa na goli la dhahabu kwasasa hakuna!!

Zamani sub zilikuwa 3 sasa 5

Hivyo hivyo kwenye mifumo ya uwanjani nayo inabadilika!

Siku hizi kipa lazma ajue kupiga pasi wakati zamani akina Oliver Kahn, Edwin Van Der Sar, Dida, Barthez walisifika kwa udakaji na saves za kutosha!

Mambo hubadilika…
 
Hii kitu inaitwa mpira wa kisasa mimi naonaga ni siasa tu, leo hii mpaka kufanya mbwembwe na mpira uwanjani ni kosa eti unam-provoke mpinzani.
 
Mambo yanabadilika mkuu, zamani kulikuwa na goli la dhahabu kwasasa hakuna!!

Zamani sub zilikuwa 3 sasa 5

Hivyo hivyo kwenye mifumo ya uwanjani nayo inabadilika!

Siku hizi kipa lazma ajue kupiga pasi wakati zamani akina Oliver Kahn, Edwin Van Der Sar, Dida, Barthez walisifika kwa udakaji na saves za kutosha!

Mambo hubadilika…
Pamoja na mambo kubadilika, kuna i kuu za uchezaji zinabaki pale pale; shinda mapambano ya 1v1, angalia kucheza mbele haraka iwezekanavyo etc.
Tukirudi hapo kwa mtoa mada kuhusu timu nyingi kutaka kucheza, unakuta kipa anaanzisha pass kwa beki na huyo beki analibutua. Sasa unajiuliza sii bora tuu kipa angebutua mbele toka mwanza.
Ufundi wa wachezaji i.e technical proficiency yao ndio inakuamulia kama kicheka kitoka nyuma itawezekana. Sasa wewe bekinwako maguire au oscar joshua bado unang'ang'ana playing out from the back...huo ni ujinga.
 
Habari wandugu.
Kuna trend kwenye mpira wa kisasa kwa maoni yangu hazina faida badala yake zinaharibu natural flow ya mpira.

1. Team kucheza na inverted wingers! Ilianza kama mzaha na Wakina Zidane, Henry, Messi, Ronaldo na Salah lakini Sasa umekuwa serious Kila timu inatafuta winga wa mguu wa kushoto anapelekwa kulia! Huu upuuzi umehamia mpaka Tanzania! Balua wa Simba na Kichuya wanacheza kama hivyo!

Ukiangalia hao walioanza kucheza hivi walikuwa exception talents! Sasa hawa wenzangu na Mimi utakuta mechi nzima hajatoa mchango wowote wa maana kwa sababu tu hakuwa kwenye natural position

2. Teams kulazimisha kuanza mpira kwa pasi fupi fupi na kipa wao! Yani utaona wachezaji wamejipanga peupe kupokea mpira ilihali washambuliaji wanawatazama! Kama wachezaji hawana control kubwa na confidence huwa ni aibu na majanga!
Hapo kwenye 2. hebu tupe mfano tucheke.
 
Hapo kwenye 2. hebu tupe mfano tucheke.
Hili lipo sana premier league.
1. Match ya Arsenal v Southampton ulikuwa unaona walinzi na golikipa walivyokuwa Wanalazimisha kuanza ndogo ni every time waliishia kupoteza mpira
2. Mwamunyeto wa Yanga Yuko radhi umuweke benchi kuliko kumuanziashia mipira hii!
 
stick together
stick to the plan
we will bounce back
always next time

Ten hag kocha la ufala
 
inverted wingers Kwa kiswahili tunaitaje bwana "mchambuzi"

😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
block baster ball 1 vi 1
 
Same applied to our daily lives.

Ukimpa samaki mtihani wa kukwea miti utatumia Muda wako wote ukiamini kuwa huyo samaki ni mjinga.,hana akili ni bogus
 
Huo mfumo ni mzuri, maana badala ya wingi kua mpiga krosi hiyo kazi anamwachia beki 2 au 3...

Yeye kazi yake inakua ni kuingia ndani na mpira, na hii inampa nafasi ya kuutumia mguu wake wenye nguvu kwa usahihi...

Angalia uchezaji wa CR7...

Kinachowaangusha wachezaji wetu ni viwango duni sio mfumo.
 
Habari wandugu.
Kuna trend kwenye mpira wa kisasa kwa maoni yangu hazina faida badala yake zinaharibu natural flow ya mpira.

1. Team kucheza na inverted wingers! Ilianza kama mzaha na Wakina Zidane, Henry, Messi, Ronaldo na Salah lakini Sasa umekuwa serious Kila timu inatafuta winga wa mguu wa kushoto anapelekwa kulia! Huu upuuzi umehamia mpaka Tanzania! Balua wa Simba na Kichuya wanacheza kama hivyo!

Ukiangalia hao walioanza kucheza hivi walikuwa exception talents! Sasa hawa wenzangu na Mimi utakuta mechi nzima hajatoa mchango wowote wa maana kwa sababu tu hakuwa kwenye natural position

2. Teams kulazimisha kuanza mpira kwa pasi fupi fupi na kipa wao! Yani utaona wachezaji wamejipanga peupe kupokea mpira ilihali washambuliaji wanawatazama! Kama wachezaji hawana control kubwa na confidence huwa ni aibu na majanga!
Katika modern futball lazma tutumie inverted wingers,hii inasaidia kudistruct defence ya mpinzani ,press higher na idadi ya player kweny Mido,kumbuka kubreak lines kwa timu inayokabia juu ni ngumu ndiposa lazma uwe na beki zenye unyumbulifu na speed kupitia pembeni .
 
Huo mfumo ni mzuri, maana badala ya wingi kua mpiga krosi hiyo kazi anamwachia beki 2 au 3...

Yeye kazi yake inakua ni kuingia ndani na mpira, na hii inampa nafasi ya kuutumia mguu wake wenye nguvu kwa usahihi...

Angalia uchezaji wa CR7...

Kinachowaangusha wachezaji wetu ni viwango duni sio mfumo.
Nadhan jamaa anatakiwa aweke topic mbili Winger na wingback ( invert line press to Midifield) kiuhalisia hawa ni mabeki wa pembeni LB na RB
 
Uchambuzi bila kakingereza uchwara bado sana!
 
Back
Top Bottom