Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 2,302
- 4,603
Habari wandugu.
Kuna trend kwenye mpira wa kisasa kwa maoni yangu hazina faida badala yake zinaharibu natural flow ya mpira.
1. Team kucheza na inverted wingers! Ilianza kama mzaha na Wakina Zidane, Henry, Messi, Ronaldo na Salah lakini Sasa imekuwa serious Kila timu inatafuta winga wa mguu wa kushoto anapelekwa kulia! Huu upuuzi umehamia mpaka Tanzania! Balua wa Simba na Kichuya wanacheza kama hivyo!
Ukiangalia hao walioanza kucheza hivyo walikuwa exceptional talents! Sasa hawa wenzangu na Mimi utakuta mechi nzima hajatoa mchango wowote wa maana kwa sababu tu hakuwa kwenye natural position
2. Teams kulazimisha kuanza mpira kwa pasi fupi fupi na kipa wao! Yani utaona wachezaji wamejipanga peupe kupokea mpira ilihali washambuliaji wanawatazama! Kama wachezaji hawana control kubwa na confidence huwa ni aibu na majanga!