Ujinga wa wanaokula Pilipili!

Pilipili ni tiba wahindi wanaamini kutoa jasho ni sehem ya kuondoa maradhi au uchafu mwilini

PILIPILI INAONDOA MAGONJWA SABA MWILINI INAINGIZA MAGONJWA SABA MWILINI.
 
Weka kinagaubaga magonjwa hayo.
 
mi hata limau nimeacha kuweka kwenye supu naona sipati ladha halisi ya supu, pilipili nayo nimeacha ili nipate ladha nzuri ya chakula bila uchachu wa limau na ukali wa pilipili
 
Pilipili ni tiba wahindi wanaamini kutoa jasho ni sehem ya kuondoa maradhi au uchafu mwilini

PILIPILI INAONDOA MAGONJWA SABA MWILINI INAINGIZA MAGONJWA SABA MWILINI.

Inaondoa yapi inaingiza yapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…