Ujio clouds media Tanzania Mombasa county au vipi?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Fisi katika ubora wake
 
Nani kasema wameshindwa?? wako na 30% market share kwa hapa nyumban, sio wadogo kama unavyoweza dhani, nyie wasubirini tu
Halafu kwa ubunifu kwa upande wa ujana hawa Clouds wako vizuri. Hizo media za Kenya wasiwadharau. Hawa jamaa kwa kubuni miradi ya kuteka soko la vijana wako vizuri teba sana. Hizo media za kenya zinaweza kuwa ni nzuri kwa habari za kiuchunguzi lakini kwa kubuni mambo ya burudani,nawaambia ukweli ndugu zetu Wakenya,Clouds wako vizuri na ni wabunifu.
So stay tuned!
 
Unajua unachokiongea kaka? Hebu angalia vizuri ulichoandika, wewe ni Mhandisi kumbuka.
 
Naamini hizo hatua zote wanazifahamu na kama kweli wameamua kuja hapo kenya hasa mombasa hizo zote wamefanya/watafanya. Kwanza Kenya sio nchi yao ya kwanza kuwekeza kwenye medani hii, hapa EA tayari wapo Rwanda na wanafanya vizuri, Wapo Abu Dhabi uarabuni, wakijulikana kama clouds media international. Mpaka sasa coverage yao ni nchi 9 za asia.
 
Mkenya yupi anaweza kuharibu mda wake eti anawatch TV za Tanzania? hao wana vitu za kishenzi ,,,,,,,kwanza utaoneshwa tu waganga wakiwa kule sumbawanga hamna lingine ,Wakenya huwatch news na program za maana.
Kusema tu kuwa wana vitu vya kishenzi maana yake umeangalia! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Endelea kuangalia ndg, kwa taarifa Kenya ni wachawi kuliko tz, kama unabisha turudi kule kwenye uzi wa uchawi tuweke takwimu.
 
Ni mtanzania ila ameishi Nairobi i think hata elimu ya secondary kaipatia huko
BABIE KABAE : Njia pekee ya kufanikiwa ni kujituma

Babie Kabae

Kwa ufupi
Onyesho hilo lilifahamika kama ‘Fashion for Health’. Onyesho hili lilifanyika katika Hoteli ya Serena, mimi nilikuwepo kuripoti lakini bi mkubwa huyu licha ya kuwa mwanahabari, siku ile alisimama kama mshereheshaji.

By Maimuna Kubegeya
Kwa mara ya kwanza nilikutana na mwanamke huyu visiwani Zanzibar. Ilikuwa mwaka 2010, kwenye onyesho kubwa la mitindo lililoandaliwa na Nguli Mustafa Hassanali.

Onyesho hilo lilifahamika kama ‘Fashion for Health’. Onyesho hili lilifanyika katika Hoteli ya Serena, mimi nilikuwepo kuripoti lakini bi mkubwa huyu licha ya kuwa mwanahabari, siku ile alisimama kama mshereheshaji.

Akiwa amebarikiwa sauti ya kipekee, huku akijiamini aliweza kuendesha onyesho hilo na kutokana na kujiamini kwake aliwateka wafuatiliaji na washabiki na hata kuwafanya wawe na shangwe kila wakati alipokuwa akizungumza.

Namzungumzia Babie Kabae mama wa watoto watatu mwenye asili ya Mombasa nchini Kenya, Mtangazaji wa Redio ya Choice FM.
 
As usual Kenyan mentality, too much know. You know how to discourage simply because is a Tanzanian company, if they have managed to stay competitive for almost seven years now why not Kenya, for your information they are doing very well in Tanzania and Rwanda, they are coming to Kenya to bring neutral unbiased stuff, not like Kenya media which are very much biased and polarised by tribalism, if Jamii forum is doing very well in Kenya why not them, be prepared to receive AZAM TV soon.
 
In addition, they are doing quite well in the UAE
 

biashara sio hisia kaka. ni kujituma, utafiti wa soko, kusoma mode wa soko na uzoevu. hizo zingine ni bla..bla... bla tu
 

Kuna watu wengine ni kazi kuwaelimisha, jamaa hajuwi target market ya Clouds, anafikiri ni media za kizee. Clouds wapo mpaka Jamaica, watashidwa hapa jirani?

clouds-media-group
 
Umesahau kua huyo dada ni mkenya mwenzio kutokea mombassa.
 
biashara sio hisia kaka. ni kujituma, utafiti wa soko, kusoma mode wa soko na uzoevu. hizo zingine ni bla..bla... bla tu
Sasa huyu mkenya anajuaje kama hawa hawakufanya hayo yote hadi aseme hawatoweza, kwanza nani kamwambia kwamba wameshindwa huku Tanzania, Clouds kama sio namba moja basi watakua namba mbili au tatu hapa nchini, huko ndiko kushindwa?, kote walikokwenda hawajawahi kushindwa, wapo Dubai, Rwanda na kote wanafanya vizuri sana, maana yake wapo vizuri maeneo yote.
 
Nashukuru kuweka suala hili sawasawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…