UJIO MPYA: ONE STEP TO VERIFIED USER from Smiling Saint to Lucas

Nikiongea kwa niaba ya Mpenda Yesu(RIS) nasema hongera sana Lucas Kwa kuamua kuwa real.
Mie nimekuwa real toka nilipo jiunga 2011,lakini kutokana na magumashi ya kule siasani,mchanganyiko na Great Thinkers,ikabidi niahirishe uamzi huo kwanza.
Kila la heri.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza hongera kujilipua!
Ni viashiria utafanikiwa mengi uliyo target for the days comin!
The size of your success is measured by the strength of your desire!
The size of your dream and how you handle disappointment alon the way!
Welldone Lucas.
Thanks sana mkuu, salaam sana kwa wana Mwanza, I hope to be there again
 
Lucas, umeona Kadinali Jorge wa Argentina amepewa jina la Francis.... sawa Saint Simle, mtakatifu wa tabasamu pana, imekaa njema, lakini usije kuwa kama yule mzee wa Magogoni ambaye anakenua kenua tu hata panapotakiwa kuonyesha majonzi
 
Last edited by a moderator:

Shukrani, mkaribu kwenye stress free but cautious forum, the CC
 
Lucas, umeona Kadinali Jorge wa Argentina amepewa jina la Francis.... sawa Saint Simle, mtakatifu wa tabasamu pana, imekaa njema, lakini usije kuwa kama yule mzee wa Magogoni ambaye anakenua kenua tu hata panapotakiwa kuonyesha majonzi
Shukrani sana mkuu, hapa mimi nimeambiwa Furahini, tena furahini
 
Kajilipua haswaa

Na sie tujilipue??

Kwanza hongera kujilipua!
Ni viashiria utafanikiwa mengi uliyo target for the days comin!
The size of your success is measured by the strength of your desire!
The size of your dream and how you handle disappointment alon the way!
Welldone Lucas.
 
Kajilipua haswaa

Na sie tujilipue??

Tena wewe ukijilipua, kesho tu @maxence mello anaweza kukukaribisha kwa ofisi kukupongeza! Kamtu maarufu kama vocha ya mia tano!
(refar ziko pipo zishamilikigi simu miaka kadhaa, bt hazijui kama hua vocha za buku 10 zipo!)
 
Lucas sijajua ungenisahau ingekuwaje, si ingekuwa mbaya sana.
Hongera kwa kuamua kuweka jina la ubatizo,
Tena unajua jana nilikosa sana,
hebu niwekee tena ile sala ya toba hapa ili niondoa yale majanga ya jana
kwenye uzi fulani hivi.

Last edited by a moderator:
..big up Lucas..hata mimi nafikiria kuja na moja ya majina yng Halisi...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu @smiling saint asante sana kwa kuja kivingine na karibu sana kwa kuendelea na pale tulipoachia ukiwa @Smiling saint na kw asasa ni Lucas
Asante sana naamini tutaendelea kuelimishana na kupeana ushauri kama kawaida
Asante sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…