UJIO MPYA: ONE STEP TO VERIFIED USER from Smiling Saint to Lucas


Karibu sana Lucas!
 
Last edited by a moderator:
Niko idara ya maji jamaa wa Tanroad kaja kulalamika kuwa maji hakuna kwao wiki nzima then jamaa akamwambia hata wao pia hawana!
 

hongera zako bwana lucas
 
Last edited by a moderator:
Tena wewe ukijilipua, kesho tu @maxence mello anaweza kukukaribisha kwa ofisi kukupongeza! Kamtu maarufu kama vocha ya mia tano!
(refar ziko pipo zishamilikigi simu miaka kadhaa, bt hazijui kama hua vocha za buku 10 zipo!)

Siku akijianika hapa Kongosho mimi namuandalia vocha shs 5000 ya mtandao wowote atakaotaka.... shahidi Invisible
 
Last edited by a moderator:
Mkuu @smiling saint asante sana kwa kuja kivingine na karibu sana kwa kuendelea na pale tulipoachia ukiwa @Smiling saint na kw asasa ni Lucas
Asante sana naamini tutaendelea kuelimishana na kupeana ushauri kama kawaida
Asante sana mkuu

Shukrani mkuu natambua mchango wako wa kipekee pia, vipi Meru kwema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…