The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,537
Anakutaka au anakitaka kifanyio tu?
hana adabu huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakutaka au anakitaka kifanyio tu?
Muulize atakuweza? Maana nawewe lolhana adabu huyu
yani nikutake mke wa baba?
manoah hii ni kweli?
mbona kile kitufe cha verified user sikioni mods wanatambua hili?Ndugu zangu wana JF,
I salute you in the name of Peace, Love and tranquility,
Ni takriban miaka miwili nimekuwa hapa JF tukishirikishana mambo mbali mbali na namshukuru Mungu maana nimeweza pata hadi marafiki wazuri sana na tuki-share mambo mbali mbali ya kimaisha.
Leo nimeamua kuja na moja ya majina yangu halisi, na sio just a username, ninafurahia kufahamiana, lakini pia ninafurahia kuwa sehemu ya furaha ya watu wengine.
It is always my wish to be a part of someone's happiness, and that is why i like smiling, but in whatever I do i always wish to glorify my God and to seek holiness from Him. that is why I called myself Smiling saint, those are my wishes, ukijisikia kuniita hivyo karibu, ukijisikia kuniita Lucas pia karibu
NB: to My brothers Erickb52, manoah, Boflo, BAGAH, Nicas Mtei, To wajomba Mtambuzi, Bishanga, Asprin, Dark City, my friends woote King'asti, Cantalisia, Smile Kongosho, Mwali, Arushaone, Ronn M, Mr Rocky, Bujibuji et al.... kiukweli ni wengi sana , sijawasahu charminglady, Zion Daughter, Mpenda Yesu, Filipo, FP (mtani wangu huyu) snowhite, na mama Mamndenyi......
I wish niwa-name woote but ninaomba hao wawa kilishe salamu zangu za upendo, furaha na amani kwa wooote
hebu ngoja niulize, Mr Rocky ni kweli hii?
heheheheheheh inaonyesha uu muumini mzuri wa nivea
Sio kweli bana, nilifikia Nelson Mandela
Mimi niliamini ni kwli maana huku resipondi hata kido wakati wa komvasesheni kati yangu na Mr. Rocky.
Mr. Rocky, nilishindwa kukutafuta siku ile maana nilikuwa na matatizo ya kifamilia ambayo yalisababisha nikatishe ziara yangu A town, narudi tarehe 5 April, hope ntakuona. Ntakua mjini 4 4 days
ah ah! Wewe ndio bomu bora yangu mimi niliingia kimya kimya na nikachomoka kimya kimya, chardams Pole na changamoto za kimajukumu ya kifamilia.
Aksante sana ndugu yangu,
Hapo sikubali Manoah, kama uliingia kimya kimya Mr. Rocky alijuaje kuwa umekwama stendi ya mabasi, ukiwa hujui pa kuelekea
ah ah! Tuliingia hapo na private car bana