Pamoja na kukejeliwa kuwa mleta mada ni Yanga lakini ana point ya maana. Kama sijakosea tarehe 3 Simba ina mechi ya ligi kuu dhidi dhidi ya Singida big stars. Je aweke kikosi dhaifu kwenye mechi ya ligi ili afanye rotation au waweke kikosi kamili ili wavune alama tatu kisha kwenye mechi ya Al Hilal ndio waweke kikosi dhaifu ili kuwapunguzia uchofu kikosi cha kwanza.Mkuu majeruhi yanaweza kutokea hata kwenye mazoezi
Hii mechi ni muhimu sana
Kwani pre season ilifanyika? 😀Maandalizi yalishafanyika kwenye usajili, na pia kwenye pre season. Kilichobakia kwa sasa ni ushindi tu, na kuchukua mataji.
Mkuu kikosi kitakachocheza na Al Hilal umeshakionaPamoja na kukejeliwa kuwa mleta mada ni Yanga lakini ana point ya maana. Kama sijakosea tarehe 3 Simba ina mechi ya ligi kuu dhidi dhidi ya Singida big stars. Je aweke kikosi dhaifu kwenye mechi ya ligi ili afanye rotation au waweke kikosi kamili ili wavune alama tatu kisha kwenye mechi ya Al Hilal ndio waweke kikosi dhaifu ili kuwapunguzia uchofu kikosi cha kwanza.
Umesoma bila kuelewa. Kuna mapumziko ya moja tu kutoka kumaliza mechi ya ligi kuu dhidi ya Singida. Maanake lazima kutafanyika rotation ya wachezaji ili kushiriki michezo yote miwili.Mkuu kikosi kitakachocheza na Al Hilal umeshakiona
Okrah alipotezwa kwenye hii mechiMkuu majeruhi yanaweza kutokea hata kwenye mazoezi
Hii mechi ni muhimu sana
Na al hilal wakapita na mguu wa okrah naskia madaktari wameshauri bora ukatwe tuHuyu ana dalili zote kuwa si mwenzetu!
Mpira ni mchezo wa kugusana. Mambo hayo yanatokea.Na al hilal wakapita na mguu wa okrah naskia madaktari wameshauri bora ukatwe tu