Watanzania ni wavivu sana kusoma, ni wepesi kulalamika na hata wakisoma kitu ni wepesi wa kusahau, wali soma nini!, kila kitu kilielezna kwa maandishi kwenye ile IGA, kawa baada ya DPW kupewa HGA, kukitokea fursa zozote za uwekezaji kwenye Bandar zozote Tanzania, DPW pia wataalikwa, kwa vile Mao tayari capo nchini, ukitokea ushindani wowote, wao wana comparative advantage, kwasababu was tayari wapo nchini.
Kiukweli sii Watanzania sio tuu tuko very poor kwenye business lobbying and advocacy, bali ni kama tuko zero kwenye economic inteligence, hili la DPW tulipaswa tulibaini kitambo!, Rwanda haina bandari, hivyo tulipoona DPW wanajenga a dry port Kigali, watu wetu wa economical inteligence, walipaswa hili walione!, wakati wa maonyesho ya Expo Dubai, DPW akaisponsor Tanzania, tukasombelea watt Dubai, tukijua huyu ni msamaria mwema, kumbe watu wanaona mbali!.
P