Ujio wa DP World: Bandari za Tanga na Mtwara Wanahusikaje? Tuliambiwa ni Dar tu tena gati tatu

Kwani hao wanaodhulumu wanadhulumu kwa sababu ya uislam wao? maana kuna wakristo wengi hasa walio CCM wanatetea huo mkataba.

ninachojua Ukristo unahitaji wakristo kuipigania haki na kupinga dhuluma na wizi …
 
We kaka utakuwa na matatizo, si wewe ulitetea sana hiyo IGA ukasema siyo mkatataba? Siku ya hukumu moto wenu utakuwa special
 
Watafanikiwa kila jambo kwa nguvu ya fedha
 
Huyo pascal namuonaga ni wakaida sana kifikra alafu ni mnafki
Wananchi wengi wamelalamikia huo mkataba alafu yeye anawalaumu wananchi eti wana upeo ndogo ni mtu wa ajabu sana upeo wake ni mdogo sana

Na huyo pascal hiyo IGA aliitetea sana alisema sio mkataba leo anawalaumu wananchi

Serekali ya ccm imeshawadharau sana wananchi mambo mengi wanafanya kibabe
 
Nchi siku watanzania watakuja kumuelewa Tundu lisu hata kama ni miaka 100 iijayo?!! ndipo history itawa frame ccm kama lobengula na mangungo
 
Kuna maeneo umepotosha. Sijui kwa kukosa kumbukumbu au ni kwa kukusudia!
Kuihusu IGA, mimi ni miongoni mwa tulio andika sana kuhusu ile IGA, hivyo sijapotosha!.
Serikali hairuhusiwi kumpa mwekezaji mwingine yeyote, bali italazimika kuitaarifu DPW.
Nitakushukuru sana ukiniwekea hicho kifungu
P
 
Ni vizuri pia wakawaone watz wenzao halisi wakishughulika na kujishughulisha na shughuli zao za kila siku katika jamii zao naamini watajifunza kitu
Kuna watu hawapajui Kigoma,Mtwara,Kyela itabidi waanze kugoogle vituo vyao vipya vya kazi
 
Nchi siku watanzania watakuja kumuelewa Tundu lisu hata kama ni miaka 100 iijayo?!! ndipo history itawa frame ccm kama lobengula na mangungo

Lisu huyuhuyu wa tutashitakiwa MIGA?
 
Tunamtaka Mwabukusi awashe moto mwingine. Watanganyika hawaelewi lolote linaloendelea na athari zake.
Bora akae kimya tu, watanzania hata wakielewa bado huchagua kuwa wanafiki.
Kama linalosemwa ni kweli watapiga kelele wenyewe wakianza kuhamishwa kwenye ardhi zao.
 
Nani alikwambia? Tulichosikia sisi ni kuwa Gati 3 za Dar ni mwanzo tu lakini Tanzania ilitaka kuboresha Mtwara na Nansio, itabidi wawaambie DPW ili nao waweze kushitiko kwenye maombi ya kuziendeleza.
 
Unapoongelea askofu unaongelea PhD holder. TEC waliponga tukawaona wajinga.
 
Hawa wakuu wetu wajinga na wasio na maarifa ya dunia. Nani anayechochea vita Sudan, si hawa hawa wa Imarati? Mmewapa bandari watashindwa kuingiza silaha? Na Usalama wenyewe ni huo hata Magufuli auawa hadi leo hakuna hata taarifa ya utafiti. Pumbavu nchi hii!
 

Kwani Mbowe na Lissu walivyokuwa wanasema ni maeneo yote tanzania nzima hadi kwenye maziwa huko DP world wamechukua mlikuwa mnajua masikhara?
 
DUBAI wamebakiza kuchukua ATCL, Ngorongoro, mlima Kilimanjaro na Tanesco.
Mwendokasi Kibindoni
Bandari zote mpaka Nansio Ukerewe.
Hivi watanzania tumejenga vyuo vikuu vingi vya Nini? Mbona shughuli zote zinazohusu management tunawapa wageni?
Tunawaamini waarabu kuliko vijana tulio wakaanga wenyewe? Hivi Dubai Kuna watu wangapi Hadi waje kutuelekeza kazi zetu sisi milioni 66????
 
Ni sawa kuhoji, Huenda DPW ikakosa wafanyakazi wazoefu iwapo wengi wataamua kubaki serikalini hivyo wakaamua kutanua wigo wa wafanyakazi wa bandari walio tayari kuamia DPW
Lakn si wangetoa tangazo la kazi la kuwalenga walioko kazini kuliko kuwambia wanaotaka kubaki TPA au kwenda DPW wajiandikishe ukizingatia hizo bandari hazimhusu.Je kesho wakipeleka hilo tangazo TRA nchi nzima itaeleweka kweli?
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…