Ujio wa DP world: Magari sasa kushuka bei na kuwa sawa na bajaji

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Ilikuwa inashangaza sana kuona mnyonge anajikusuru kuagiza gari toka nje, ambapo unakuta bei ya manunuzi ni milioni 4, 5 ama 6.

LAKINI likifika badarini linatozwa Kodi na ushuru wa ajabu na kujikuta unalikomboa kwa kutoa milioni 20.

Sasa haya yote mwarabu anakuja kuyamaliza, Kodi na ushuru havitazidi nusu ya bei ya manunuzi, imefahamika.

Karibuni DP World, mje hata kesho.

Walisikika wazee wa chumvini a.k.a minyama wakiyanena mema haya ya DP World wakiwa Dubai.
 
Kodi kubwa ya gari ni TRA wala sio bandari. Tena bajeti inayosomwa leo inaenda kuongeza Kodi zaidi kwenye magari. Kwa lugha rahisi bei inaenda kupanda zaidi sio kushuka

Ushuru wa bandari ni pesa kidogo tu haina athari kwenye bei yote ya gari. Mtihani ni kkdi ya TRA ambayo ndio huwa zaidi ya mara mbili ya thamani ya gari

Hii Kodi ya TRA haihusiani kabisa na gari kuwahi au kuchelewa,kifupi haihusiani kabisa na wewe kupitisha gari yako bandarini
 
Ilikuwa inashangaza sana kuona mnyonge anajikusuru kuagiza gari toka nje, ambapo unakuta bei ya manunuzi ni milioni 4,5 ama 6.

LAKINI likifika badarini linatozwa Kodi na ushuru wa ajabu na kujikuta unalikomboa kwa kutoa milioni 20.

Sasa haya yote mwarabu anakuja kuyamaliza, Kodi na ushuru havitazidi nusu ya bei ya manunuzi, imefahamika.

Karibuni DP World
WAJINGA MNADANGANYIKA
 
Kwamba yeye ndio kapewa kuendesha TRA? Kweli hii nchi imejaa wendawazimu. Na yakishuka hivyo hizo barabara zipo wapi?

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
hili ndio popote naona limetoka porini leo.
 
Ilikuwa inashangaza sana kuona mnyonge anajikusuru kuagiza gari toka nje, ambapo unakuta bei ya manunuzi ni milioni 4,5 ama 6.

LAKINI likifika badarini linatozwa Kodi na ushuru wa ajabu na kujikuta unalikomboa kwa kutoa milioni 20.

Sasa haya yote mwarabu anakuja kuyamaliza, Kodi na ushuru havitazidi nusu ya bei ya manunuzi, imefahamika.

Karibuni DP World
Unaweza kumuheshimu kumbe kichwani ni bure. Bila shaka umewasikiliza kina Kitenge, wale washakula chao

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Kodi kubwa ya gari ni TRA wala sio bandari. Tena bajeti inayosomwa leo inaenda kuongeza Kodi zaidi kwenye magari. Kwa lugha rahisi bei inaenda kupanda zaidi sio kushuka

Ushuru wa bandari ni pesa kidogo tu haina athari kwenye bei yote ya gari. Mtihani ni kkdi ya TRA ambayo ndio huwa zaidi ya mara mbili ya thamani ya gari

Hii Kodi ya TRA haihusiani kabisa na gari kuwahi au kuchelewa,kifupi haihusiani kabisa na wewe kupitisha gari yako bandarini
Ndiyo maana wanasema ccm kuna wàjinga, Sasa bandari ndo wanatoza ushuru ambao unatozwa na tra?
 
Kodi kubwa ya gari ni TRA wala sio bandari. Tena bajeti inayosomwa leo inaenda kuongeza Kodi zaidi kwenye magari. Kwa lugha rahisi bei inaenda kupanda zaidi sio kushuka

Ushuru wa bandari ni pesa kidogo tu haina athari kwenye bei yote ya gari. Mtihani ni kkdi ya TRA ambayo ndio huwa zaidi ya mara mbili ya thamani ya gari

Hii Kodi ya TRA haihusiani kabisa na gari kuwahi au kuchelewa,kifupi haihusiani kabisa na wewe kupitisha gari yako bandarini
Kwani hiyo calculator ya TRA ni msahafu? Itabadilishwa maokoto ya waarabu yakiwa mengi Kodi kubwa itapunguzwa ili watanzania waonje pepo. Huo ndiyo msingi wa hoja
 
Kwamba yeye ndio kapewa kuendesha TRA? Kweli hii nchi imejaa wendawazimu. Na yakishuka hivyo hizo barabara zipo wapi?

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Haya ni mapungufu yanayorekebishika, acha mwarabu apewe bandari
 
Ilikuwa inashangaza sana kuona mnyonge anajikusuru kuagiza gari toka nje, ambapo unakuta bei ya manunuzi ni milioni 4,5 ama 6.

LAKINI likifika badarini linatozwa Kodi na ushuru wa ajabu na kujikuta unalikomboa kwa kutoa milioni 20.

Sasa haya yote mwarabu anakuja kuyamaliza, Kodi na ushuru havitazidi nusu ya bei ya manunuzi, imefahamika.

Karibuni DP World, mje hata kesho.

Walisikika wazee wa chumvini wakiyanena mema haya ya DP World wakiwa Dubai.
Wakabithi bandari yao. Hakuna ulaghai utakalainisha nyoyo zetu. Tuachieni bandari zetu
 
Kodi ya magari ni TRA sio Port. TRA Wakishusha bei itapendeza sana. Tanzania watu wanaendesha machuma chuma ya ajabu sana sababu ya gharama za magari.

Unakutana na Rav 4 ya 1994 huko imeshatumika hapa enzi na enzi vyuma vimesuguana mpaka kutu imesusa kushika, inauzwa M7.5 na dalali anataka laki mbili na bado mtu anainunua anapandisha mke na watoto humo kwenye hilo sufuria sababu hana mbadala.

Ushuru ukiwa chini mikokoteni ya zamani itauzwa bei che sana. Vyuma chakavu ndo watainunua kwa wingi.
 
Mbona Port Charges na Ushuru wa gari ni vitu viwili tofauti, Labda kama huyo DP World mnamkabidhi na TRA.

Na Kodi ndio kwanza imepandishwa tena kwenye budget mpya.
 
Kati ya akina Kitenge na wewe wa mjini (mjini yenyewe ya Kwa Mtogole) unadhani nitamsikiliza nani?
Shida sio kusikiliza, kusikiliza na kutambua ukweli wa kitu ulichosikia ni jambo lingine. Hivi kweli kama hujui kuwa bei inaathiriwa na kodi ya TRA na sio malipo au ucheleweshaji wa bandari tukuitaje kama sio empty vessel. Ndio maana nikasema unaweza kumuheshimu mtu mtandaoni kumbe ni hapaswi.

Back
Top Bottom