TEAM 666
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 4,399
- 8,594
Labda hao wavaa kobazi tuwape na TRAIlikuwa inashangaza sana kuona mnyonge anajikusuru kuagiza gari toka nje, ambapo unakuta bei ya manunuzi ni milioni 4, 5 ama 6.
LAKINI likifika badarini linatozwa Kodi na ushuru wa ajabu na kujikuta unalikomboa kwa kutoa milioni 20.
Sasa haya yote mwarabu anakuja kuyamaliza, Kodi na ushuru havitazidi nusu ya bei ya manunuzi, imefahamika.
Karibuni DP World, mje hata kesho.
Walisikika wazee wa chumvini a.k.a minyama wakiyanena mema haya ya DP World wakiwa Dubai.