Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Kwahio DP World wanachukua Bandari au TRA ?Hivi unajua kikokotoo (calculator) cha TRA kwenye gari ni tofauti na inayotumika hata hapo Zanzibar tu? Achilia mbali nchi jirani sitaki kuzitaja. Ndiyo maana magari katk nchi nyingi zinazotuzunguka yako cheap!
Unadhani shida zetu kwa hii nchi ni ukosefu wa ukusanyaji wa Kodi, Ukosefu wa vyanzo, Mwananchi kutokukamuliwa au mirija na walaji wengi ?Turudi kwenye hoja. DP World wakiweka mitambao yao meli zikawa zinakuja halafu ndani ya nusu saa maroboti yashamaliza kupakuwa meli zote na ushuru wote ushachukuliwa unadhani kwa mwezi watakusanya tozo na ushuru/tozo za bandari kiasi gani ??( Siyo chini ya trilioni 6).
Sasa kwa makusanyo hayo Kuna haja ya kuendelea na calculator ya TRA ya Sasa ya Kodi za magari??
Misaada tunapewa mingapi kila siku ? Mabwenyewe / watawala wanazimaliza bila kufanya kile kinachotakiwa kufanyika....
Ni sawa sawa pipa linavuja, badala ya kuziba hilo pipa ili unachokiweka kisimwagike unadhani kuendelea kujaza kutapunguza uvujaji (kumbe ule uzito unaongeza ukubwa wa tundu hence kuvuja)