- Thread starter
- #101
Kitabadilishwa mkuu ili kumpungizia mzigo mtanzania mnyongeWakati huo kikokotoo cha TRA kimeenda likizo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitabadilishwa mkuu ili kumpungizia mzigo mtanzania mnyongeWakati huo kikokotoo cha TRA kimeenda likizo?
Sheria za Kodi siyo msahafu. DP wakiweza kukusanya tozo na ushuru wa bandari unaofikia 6 trilioni kwa mwezi hizo sheria zitabadilishwa ama kufutwa ili Kodi ishuke kabisaHizo ni kwa mujibu wa sheria ya Kodi na zitaendelea kuwepo. Hao DP wao watapakua haraka tuu baadaye upambane na. T.R.A
Ilikuwa inashangaza sana kuona mnyonge anajikusuru kuagiza gari toka nje, ambapo unakuta bei ya manunuzi ni milioni 4,5 ama 6.
LAKINI likifika badarini linatozwa Kodi na ushuru wa ajabu na kujikuta unalikomboa kwa kutoa milioni 20.
Sasa haya yote mwarabu anakuja kuyamaliza, Kodi na ushuru havitazidi nusu ya bei ya manunuzi, imefahamika.
Karibuni DP World, mje hata kesho.
Walisikika wazee wa chumvini a.k.a minyama wakiyanena mema haya ya DP World wakiwa Dubai.
😀eti sufuria dah.Kodi ya magari ni TRA sio Port. TRA Wakishusha bei itapendeza sana. Tanzania watu wanaendesha machuma chuma ya ajabu sana sababu ya gharama za magari.
Unakutana na Rav 4 ya 1994 huko imeshatumika hapa enzi na enzi vyuma vimesuguana mpaka kutu imesusa kushika, inauzwa M7.5 na dalali anataka laki mbili na bado mtu anainunua anapandisha mke na watoto humo kwenye hilo sufuria sababu hana mbadala.
Ushuru ukiwa chini mikokoteni ya zamani itauzwa bei che sana. Vyuma chakavu ndo watainunua kwa wingi.
Je mwaka 1996 ulikuwa na miaka mingapi?; Ulikuwa kijiji gani?Ukubwa na wingi wa Kodi utapunguzwa ili mtanzania aishi kama peponi baada ya DP World kuanza kukusanyateilioni 6 kwa mwezi kupitia tozo na ushuru wa bandari
Kulikuwa na nn mwaka huo? Nilikuwa darasa la 4Je mwaka 1996 ulikuwa na miaka mingapi?; Ulikuwa kijiji gani?
Hilo lilisibiri hadi mwarabu aje auIlikuwa inashangaza sana kuona mnyonge anajikusuru kuagiza gari toka nje, ambapo unakuta bei ya manunuzi ni milioni 4,5 ama 6.
LAKINI likifika badarini linatozwa Kodi na ushuru wa ajabu na kujikuta unalikomboa kwa kutoa milioni 20.
Sasa haya yote mwarabu anakuja kuyamaliza, Kodi na ushuru havitazidi nusu ya bei ya manunuzi, imefahamika.
Karibuni DP World, mje hata kesho.
Walisikika wazee wa chumvini a.k.a minyama wakiyanena mema haya ya DP World wakiwa Dubai.
Ndiyo. Mwarabu anakuja kuongeza makusanyo ya bandari kupitia tozo naushiru wa bandari mpk kufikia trilioni 6 kwa mwezi.Hilo lilisibiri hadi mwarabu aje au
- Umesema sahihi, huwezi kuwa na ufahanu wa mapambio ya miaka hiyo: UBINAFSISHAJIKulikuwa na nn mwaka huo? Nilikuwa darasa la 4
Unavyoremba utafikiri.matumizi ya serikali yatapungua.Ndiyo. Mwarabu anakuja kuongeza makusanyo ya bandari kupitia tozo naushiru wa bandari mpk kufikia trilioni 6 kwa mwezi.
Hii itapelekea serikali kurekebisha sheria za Kodi na kupunguza viwango vya Kodi na kuwafanya watanzania kuishi.kama peponi.
Mwarabu kachelewa huyu angekuja Jana.
Kwasababu bandari inaenda kuongeza mapato, basi TRA wataadjust hiyo Kodi ya magari. Labda!Kodi kubwa ya gari ni TRA wala sio bandari. Tena bajeti inayosomwa leo inaenda kuongeza Kodi zaidi kwenye magari. Kwa lugha rahisi bei inaenda kupanda zaidi sio kushuka
Ushuru wa bandari ni pesa kidogo tu haina athari kwenye bei yote ya gari. Mtihani ni kkdi ya TRA ambayo ndio huwa zaidi ya mara mbili ya thamani ya gari
Hii Kodi ya TRA haihusiani kabisa na gari kuwahi au kuchelewa,kifupi haihusiani kabisa na wewe kupitisha gari yako bandarini
Hizi ndo habari njema ambazo CHADEMA wasingenda kuzisikia.Ilikuwa inashangaza sana kuona mnyonge anajikusuru kuagiza gari toka nje, ambapo unakuta bei ya manunuzi ni milioni 4,5 ama 6.
LAKINI likifika badarini linatozwa Kodi na ushuru wa ajabu na kujikuta unalikomboa kwa kutoa milioni 20.
Sasa haya yote mwarabu anakuja kuyamaliza, Kodi na ushuru havitazidi nusu ya bei ya manunuzi, imefahamika.
Karibuni DP World, mje hata kesho.
Walisikika wazee wa chumvini a.k.a minyama wakiyanena mema haya ya DP World wakiwa Dubai.
🤣🤣🤣🤣 mtatuumiza mbavu, bro umefanya watu wanione nimerukwa na akiliKodi ya magari ni TRA sio Port. TRA Wakishusha bei itapendeza sana. Tanzania watu wanaendesha machuma chuma ya ajabu sana sababu ya gharama za magari.
Unakutana na Rav 4 ya 1994 huko imeshatumika hapa enzi na enzi vyuma vimesuguana mpaka kutu imesusa kushika, inauzwa M7.5 na dalali anataka laki mbili na bado mtu anainunua anapandisha mke na watoto humo kwenye hilo sufuria sababu hana mbadala.
Ushuru ukiwa chini mikokoteni ya zamani itauzwa bei che sana. Vyuma chakavu ndo watainunua kwa wingi.
kumbe mwarabu anapewa hadi TRA?Ilikuwa inashangaza sana kuona mnyonge anajikusuru kuagiza gari toka nje, ambapo unakuta bei ya manunuzi ni milioni 4,5 ama 6.
LAKINI likifika badarini linatozwa Kodi na ushuru wa ajabu na kujikuta unalikomboa kwa kutoa milioni 20.
Sasa haya yote mwarabu anakuja kuyamaliza, Kodi na ushuru havitazidi nusu ya bei ya manunuzi, imefahamika.
Karibuni DP World, mje hata kesho.
Walisikika wazee wa chumvini a.k.a minyama wakiyanena mema haya ya DP World wakiwa Dubai.
TRA siyo msahafu. Mwarabu akishika kasi kwenye ukusanyaji wa tozo na ushuru wa bandari tutafuta Kodi kama zotekumbe mwarabu anapewa hadi TRA?
Yes. Hii ndiyo hoja kuuKwasababu bandari inaenda kuongeza mapato, basi TRA wataadjust hiyo Kodi ya magari. Labda!
Tanzania magari ni ghali utafikiri tunajaribu kulinda viwanda vya ndani!Kodi kubwa ya gari ni TRA wala sio bandari. Tena bajeti inayosomwa leo inaenda kuongeza Kodi zaidi kwenye magari. Kwa lugha rahisi bei inaenda kupanda zaidi sio kushuka