- Thread starter
- #61
Ndiyo hao haoWazee wa chumvini ndio hao hao wazee wa minyama!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo hao haoWazee wa chumvini ndio hao hao wazee wa minyama!??
Kwa mara ya kwanza nimefanikiwa kufahamu kuwa Sexless ni mtupu yani empty set kichwani kabisa.Ilikuwa inashangaza sana kuona mnyonge anajikusuru kuagiza gari toka nje, ambapo unakuta bei ya manunuzi ni milioni 4,5 ama 6.
LAKINI likifika badarini linatozwa Kodi na ushuru wa ajabu na kujikuta unalikomboa kwa kutoa milioni 20.
Sasa haya yote mwarabu anakuja kuyamaliza, Kodi na ushuru havitazidi nusu ya bei ya manunuzi, imefahamika.
Karibuni DP World, mje hata kesho.
Walisikika wazee wa chumvini a.k.a minyama wakiyanena mema haya ya DP World wakiwa Dubai.
Case closed kwa hii commentKodi kubwa ya gari ni TRA wala sio bandari. Tena bajeti inayosomwa leo inaenda kuongeza Kodi zaidi kwenye magari. Kwa lugha rahisi bei inaenda kupanda zaidi sio kushuka
Ushuru wa bandari ni pesa kidogo tu haina athari kwenye bei yote ya gari. Mtihani ni kkdi ya TRA ambayo ndio huwa zaidi ya mara mbili ya thamani ya gari
Hii Kodi ya TRA haihusiani kabisa na gari kuwahi au kuchelewa,kifupi haihusiani kabisa na wewe kupitisha gari yako bandarini
Tofauti ya kati ya makubaliano na mkatabaKwamba yeye ndio kapewa kuendesha TRA? Kweli hii nchi imejaa wendawazimu. Na yakishuka hivyo hizo barabara zipo wapi?
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!
6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Wajinga ndio waliwao, mnafikiri DP World itakufanya usilipe kodiIlikuwa inashangaza sana kuona mnyonge anajikusuru kuagiza gari toka nje, ambapo unakuta bei ya manunuzi ni milioni 4,5 ama 6.
LAKINI likifika badarini linatozwa Kodi na ushuru wa ajabu na kujikuta unalikomboa kwa kutoa milioni 20.
Sasa haya yote mwarabu anakuja kuyamaliza, Kodi na ushuru havitazidi nusu ya bei ya manunuzi, imefahamika.
Karibuni DP World, mje hata kesho.
Walisikika wazee wa chumvini a.k.a minyama wakiyanena mema haya ya DP World wakiwa Dubai.
DP world watakuwa wanatazamiwa kufikia uwezo wa kukusanya trilioni 6 kwa mwezi.Wajinga ndio waliwao, mnafikiri DP World itakufanya usilipe kodi
Ndio maana nasema wajinga ndio waliwao, ulipiwe kodi na mwarabu mjomba wako huyo?DP world watakuwa wanatazamiwa kufikia uwezo wa kukusanya trilioni 6 kwa mwezi.
Makusanyo haya yakifikiwa viwango vya Kodi vitapunguzwa bei za magari zitapungua na watanzania wataishi kama peponi
Unaota? Hao dp world mapato kwa mwaka bandari ni $17.1billion ambayo ni sawa na trillion 40DP world watakuwa wanatazamiwa kufikia uwezo wa kukusanya trilioni 6 kwa mwezi.
Makusanyo haya yakifikiwa viwango vya Kodi vitapunguzwa bei za magari zitapungua na watanzania wataishi kama peponi
Bandarini ushuru wa forodha tu unafika trilioni 6. Sasa Kodi ya nn tena? Sijui unaelewa,?Ndio maana nasema wajinga ndio waliwao, ulipiwe kodi na mwarabu mjomba wako huyo?
Aloo tuwape na TRA sasa..Kodi kubwa ya gari ni TRA wala sio bandari. Tena bajeti inayosomwa leo inaenda kuongeza Kodi zaidi kwenye magari. Kwa lugha rahisi bei inaenda kupanda zaidi sio kushuka
Ushuru wa bandari ni pesa kidogo tu haina athari kwenye bei yote ya gari. Mtihani ni kkdi ya TRA ambayo ndio huwa zaidi ya mara mbili ya thamani ya gari
Hii Kodi ya TRA haihusiani kabisa na gari kuwahi au kuchelewa,kifupi haihusiani kabisa na wewe kupitisha gari yako bandarini
Kwa mwendo wa mwarabu TRA inakwenda kufutwa. Hakutakuwa na haja ya kukusanya Kodi iwapo ushuru na tozo za bandari zitatosha kuendesha nchi.Aloo tuwape na TRA sasa..
wallah lau kama ingekuwa hakuna issue ya ban i swear ningekutukana bonge la tusi acha tu niishia hapa,maana nmeishia tu kukusonyaIlikuwa inashangaza sana kuona mnyonge anajikusuru kuagiza gari toka nje, ambapo unakuta bei ya manunuzi ni milioni 4,5 ama 6.
LAKINI likifika badarini linatozwa Kodi na ushuru wa ajabu na kujikuta unalikomboa kwa kutoa milioni 20.
Sasa haya yote mwarabu anakuja kuyamaliza, Kodi na ushuru havitazidi nusu ya bei ya manunuzi, imefahamika.
Karibuni DP World, mje hata kesho.
Walisikika wazee wa chumvini a.k.a minyama wakiyanena mema haya ya DP World wakiwa Dubai.
Hivi unajua kikokotoo (calculator) cha TRA kwenye gari ni tofauti na inayotumika hata hapo Zanzibar tu? Achilia mbali nchi jirani sitaki kuzitaja. Ndiyo maana magari katk nchi nyingi zinazotuzunguka yako cheap!Unalipia Kodi (ambayo inatozwa na TRA) hii haihusiani na makato mengine yoyote ya Bandari..., Sasa swali linakuja ushuru wa bandari wa sasa ndio unaleta difference ya ushuru baina ya gari na bajaji (yaani haina uhusiano na makato ya TRA ambayo yanaangalia bei ya kununua, ukubwa wa engine na dumping fees) ?
Kwani DP WORLD kapewa na TRA duuhIlikuwa inashangaza sana kuona mnyonge anajikusuru kuagiza gari toka nje, ambapo unakuta bei ya manunuzi ni milioni 4,5 ama 6.
LAKINI likifika badarini linatozwa Kodi na ushuru wa ajabu na kujikuta unalikomboa kwa kutoa milioni 20.
Sasa haya yote mwarabu anakuja kuyamaliza, Kodi na ushuru havitazidi nusu ya bei ya manunuzi, imefahamika.
Karibuni DP World, mje hata kesho.
Walisikika wazee wa chumvini a.k.a minyama wakiyanena mema haya ya DP World wakiwa Dubai.
Muongo mkubwaIlikuwa inashangaza sana kuona mnyonge anajikusuru kuagiza gari toka nje, ambapo unakuta bei ya manunuzi ni milioni 4,5 ama 6.
LAKINI likifika badarini linatozwa Kodi na ushuru wa ajabu na kujikuta unalikomboa kwa kutoa milioni 20.
Sasa haya yote mwarabu anakuja kuyamaliza, Kodi na ushuru havitazidi nusu ya bei ya manunuzi, imefahamika.
Karibuni DP World, mje hata kesho.
Walisikika wazee wa chumvini a.k.a minyama wakiyanena mema haya ya DP World wakiwa Dubai.
TRA siyo msahafu useme sheria na viwango vya Kodi haviwezi kubadilika endapo DP. World watakuwa wanatupatia trilioni 6 kwa mwezi toka kwenye tozo na ushuru wa bandariKwani DP WORLD kapewa na TRA duuh
Kwamba calculator ya TRA itabadilika accordingly!!Ilikuwa inashangaza sana kuona mnyonge anajikusuru kuagiza gari toka nje, ambapo unakuta bei ya manunuzi ni milioni 4,5 ama 6.