Ilikuwa inashangaza sana kuona mnyonge anajikusuru kuagiza gari toka nje, ambapo unakuta bei ya manunuzi ni milioni 4,5 ama 6.
LAKINI likifika badarini linatozwa Kodi na ushuru wa ajabu na kujikuta unalikomboa kwa kutoa milioni 20.
Sasa haya yote mwarabu anakuja kuyamaliza, Kodi na ushuru havitazidi nusu ya bei ya manunuzi, imefahamika.
Karibuni DP World, mje hata kesho.
Walisikika wazee wa chumvini wakiyanena mema haya ya DP World wakiwa Dubai.
Punguza ukunguni sio mzuri